hawa viongozi wetu (hongera SUGU)


njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2009
Messages
11,407
Likes
2,088
Points
280
njiwa

njiwa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2009
11,407 2,088 280
kuna thread moja nilisoma humu JF kwamba muheshimiwa mbunge mteule joseph "SUGU" alihojiwa na waandishi wa habari na kuulizwa sasa makazi yake yatakuwa DAR au mbeya?
akajibu kuwa yatakuwa Mbeya.

wabunge wote wangekuwa kama huyu muheshimiwa basi nafikiri maendeleo katika majimbo yangefika haraka sana. Mbunge wa bukoba, Moshi, Tanga vijijini inabidi waishi maeneo waliyoombea kura iliwajioneE shida wanazopata wananchi wanao wawawakilisha. january makamba inabidi ukaishi bumbuli.

nafkiri kunahitajika sheria katika hili jambo utakuta mbunge wa znz anaishi osterbey tena wengi kweli enzi zile kipindi cha mkapa sijui kama sasa hivi bado wanafanya hivyo. Hivi wananchi wanaowapigia kura huwa hawalioni hili..? Nafkiri elimu pia inahitajika wasimchague kiongozi mpaka awe na makazi basi hata nyumba kutoka maeneo wanayo omba kura.
naweza kutoa mfano kama MBUNGE umesimama steady katika eneo "X" then ambulance "jimbo analowakilisha" inakuja na king`ora kinalia, sauti ya kingora ataisikia juu pale ambulance anapozidi kuja karibu yake na inazidi kupotea pale inapozidi kumuacha.
kama angejuwa hata frequency ya kingo`ra cha ambulance then itakuwa easy for him to determine speed ya ile ambulance

hii ni sawaswa na mbunge wa moshi vijijini akiona basi kule hakumfai , aishi hata moshi mjini at list matatizo ya moshi vijijini anaweza akayaona kulikuko yasikia akiwa dar.

sijui dar kuna nini hadi wanajazana pale. Hongera sana muheshimiwa SUGU!
 

Forum statistics

Threads 1,235,743
Members 474,742
Posts 29,233,481