Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 476
Mimi nasema sikubaliani kabisaaaaaaaaaaaaa! Yaaaaaaaani yaani eti kuna hawa jamaa wanaowaosha na kuwasugua wake zetu miguu na kucha. Kama wao wanaoshwa na kusuguliwa miguu kwa nini na ninyi akina DADA wamachinga msianze na ninyi kupita huku maofisini na kwenye mabaa mkatuosha wanaume miguu na kusugua kucha? Na nyie MWAGENI mboga ala! Nawaambia mwageni mboga nasi tutawaunga mkono wallah tena!