BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 52
umeshaenda kwenye ofisi za watu ukamkuta secretary...ukamwambia dada samahani naweza kuonana NA boss wako......atakuuliza una-appointment nae...utajibu hapana....atauliza jina lako utamwambia unaitwa baba juice...kwenye akili yake baba juice ni tu ambae hana wadhifa wowote serikalini au jina lake halifanani na la mtoto wa mtu maarufu kama(ridhione kikwete) jina kama hilo ukitaja sehemu zozote zenye ofisi za serikali unapata access mara moja.....yani majina ya watoto ya vigogo serikalini....kwahiyo mwana jamii mwenzangu ww unamjua nani?siku hizi ajira za serikali hutolewa na kitengo maamalumu, wizara na ofisi za serikali haziajiri watoto wa wakulima kienyeji inabidi zipitie public recruitment.....ili uweze kuchaguliwa bt watoto wavigogo hawapitiii huko ni kimemo kinatumwa.....ukiapply kazi inakuwa hivi....mnapewa interview ngumu ambayo mtafeli wote.....alafu mnakuwa selected according to preferences....kwamba yule dada ana macho mazuri tunamchagu au yule si mtoto wafulani tumchague...wewe ukienda kulalamika unapewa interview yako uliyopata zero....ndio njia zinazotumika.....public recrutmen haipo huru inataka kumaintain watoto wawanasia katika njanya nyingi za serikali hata kama hawana UWEZO.....