Baraza jipya la mawaziri

katawa

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
458
759
waziri mkuu Chenge Andrew
Waziri wa elimu ya juu,SANGA MB wa Njombe
Waziri wa maadili,AESH,Mb wa sumbawanga,WZR WIZARA ya kudhibiti rushwa,Lowassa Edward,
Waziri wa Fedha Aziz Rostam,Waziri usalama wa raia ,Getrude lwakatare,Wzr ustawi wa jamii,Makamba Januari,
 

katawa

JF-Expert Member
Jan 29, 2010
458
759
It is not a joke! Nadhan unajua kuwa ni ccm ndo wanaunda baraza,na hao ni watu wao makin na wanaoaminika zaid
 

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,271
4,544
Ngojea kwanza mkuu ateu viti vyake maalum ndipo uanze ubashiri wako wa nani anakuwa nani. Sasa hivi ni mapema mno
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom