Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanafunzi waliomaliza meta secondary form six 1996 na 1997 amefariki mwenzetu Yusufu Mgosi leo kwao mwenge kijijini,alikuwa mwanamichezo alichezea mwenge shooting,New kenda,mungu amlaze mahala...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Amekuwa adimu si kawaida kuadimika kiasi hichi. Jamani huyu msanii namuamini sana kwa sanaa ya nyimbo za ngonjera.. Uwapi bwana william ngereja? hatuna updates za nishati zako za taa tunaona giza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tetemeko (la ardhi) latokea dar, watu maeneo ya mjini wamelisikia UPDATES: Watu PPF tower wameambiwa watoke kwenye jengo http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/recenteqsww/Quakes/usc000440z.php...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
Habari wana Jf.... Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
wa2 mbalimbali wamekuwa wakijidanganya hapa Tz kuwa eti CHADEMA kitachukuwa nchi huu niujinga na uvivu wa kufikiri ni kosa kubwa sana! Ni sawa na fisi kufuatilia mkonowa binadamu huku akijinadanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau wa JF Tanga naomba kuwa mgeni wenu katika jiji hilo wenyewe mwasema waja leo waondoka mwakani. Ntakuwepo Tanga kuanzia tarehe 14-18 Juni 2011. Siku nne nikiwa Tanga naomba mnijuze mahala...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeuagiza mkoa wa Tabora kumtafuta aliyekuwa mhasibu mkuu wa mkoa huo katika kipindi kilichoishia Oktoba 30, mwaka jana ili aweze kuadhibiwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
1. Hana sera 2. Hana mbinu endelevu. 3. Hana elimu ya uongozi. 4. Hana msimamo 5. Hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi,
0 Reactions
7 Replies
1K Views
KAMA NTAKUBOA PSE LEAVE ME ALONE... Waungwana tafadhali mnielekeze wapi naweza kununua Kombati za CDM kwa hapa Dsm?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BHOKE,kaitia nchi nuksi,kwa vitendo vyake vya kufanya ngono live BBA- tetemeko is only the beginning
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Globe and Mail UpdatePublished Wednesday, Jun. 08, 2011 12:00AM EDT[h=5]Last updated Wednesday, Jun. 08, 2011 10:48AM EDT (Geoffrey York/Globe and Mail)Hide caption At the Barrick gold mine at...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Pamoja na Serikali kutangaza vita na madereva wazembe lakini ninahakika kuwa hiyo vita hawawezi kushinda maana vyombo vinavyosimamia usalama barabarani vinaudhaifu mkubwa katika suala zima la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sio kama namchukia napenda niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na MUNGU huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Enzi za Mwalimu. J.K. Nyerere. Kipindi cha baba wa taifa akiwa Rais, kila baada ya kikao cha baraza, alikuwa na tabia ya kumwambia waziri mmojawapo abaki. Waziri huyo aloambiwa alikuwa anakuwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Did you just drop your cellphone in water? Or maybe you'd like to know what to do if that happens! This week on Upgrade Your Life, Yahoo! News' Becky Worley shows us first aid techniques for...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
leo hii pamoja na wengi tulimbehua yule bwana ,kwa wakati ule alikuwa ndiye Mkurugenzi mkuu wa shirika la umeme Tanesco , alipotoa tahadhari , kwamba ni heri serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya Ayacharukia Madhehebu Imeandikwa na Joachim Nyambo, Ileje. MKUU wa Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya, Ester Wakali ametishia kuyafungia madhehebu yanayoshawishi waumini wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wadau, kuna hili swala la kulipa sh 200/ au kuonyesha tiketi wakati wa kutoka ndani ya stand. Wanapokuuliza tiketi wao wanadhani uliingilia wapi? Ni lazima uwe umekuja na bus toka...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Na Igamba Libonge, Kilombero MKAZI wa kijiji cha Muhola, kata ya Ifakara, Idd Juma (34), aliyekuwa akitoa tiba ya asili kwa kutumia kikombe amerukwa akili. Juma aliyekuwa akitoa tiba ya magonjwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Anayetoa kikombe arukwa na akili na Joseph Malembeka, Morogoro MGANGA aliyeibuka hivi karibuni akitibu magonjwa sugu kwa kutoa kikombe cha dawa katika kijiji cha Muhola...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom