Gadafi utavuna ulichopanda; na Mungu alie hai hatokuacha madarakani ndani ya 3months | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gadafi utavuna ulichopanda; na Mungu alie hai hatokuacha madarakani ndani ya 3months

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 8, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  Sio kama namchukia napenda
  niwaambien ukweli fanya ujinga wote usimdhihaki roho mtakatifu,na MUNGU
  huyu bwana allienda kwa museveni kufungua misikiti aliotoa kwa hela yake ..alipopewa mike alidai ukristo ni dini ya washenzi, kwanza akuna ukristo duniani

  kwa mnaokumbuka mnakumbuka uganda wakristo waliandamana sana na kutaka kuleta fujo..sasa sie tuliokuwa tanzania na kwingineko tuliona wanapoteza muda vita vyetu si juu y damu na nyama ..tukaamua kupiga majeshi,,akika tumeomba sana huyu bwana kabla ya kuondoka dunian MUNGU amjulishe yeye ni nani

  na kama MUNGU aishivyo hatochukua miezi kadhaa madarakani akiwa hai ama amekufa ...nasema hivi ikiwa ni onyo kwa walio na akili kama zake yawezekana tunao gadafi wengi sana dunian najua majeshi ya MUNGU ayatamwacha anaemdhihaki akika damu za walibya zinamwagika juu yake lakini utukufu wa MUNGU uonekane kwa kuondolewa ma darakani na hata kufungwa kabisa

  huyu mtu hana adabu kabisa kabisa..vijisenti vyake vilifanya hata museven kukaa kimya kabisa na ushenzi wa maraisi wa africa na njaa zao wao shida zao ni zile pesa leo wako wapi wametaifisha kila kitu...mnaokumbuka kule rwanda aliweka kampuni ya simu ..mkuu wa kazi kaimilikisha kwa wanyarwanda na hii ni mfano tu waha zile bank 3 pale kigali kwishne....

  Kabla ya kuongea omben MUNGU awajalie kuona ya kesho

  mbarikiwe
   
 2. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nakupa tano.
   
 3. M

  Mlabondo Senior Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ninakuunga mkono ndugu yangu
   
 4. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,891
  Likes Received: 1,644
  Trophy Points: 280
  HUYU ATANG'OOKA NAMIM NAKUMBUKA SANA VILE ALILI TUKANA JINA LA MUNGU NAKUTAKA KULETA MAMBO YAKUWA MUNGU,AKIFIKA HATUWA YAKUJI ITA MFALME WA WAFALME. He Must die as he kil other people.
   
 5. A

  Annony Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unamzungumzia Mungu aliye juu plz use capital letters! Tutamtofautishaje Mungu aliye juu na mungu wa dunia kama unaandika in that way? Mbona jina lako watumia capital letters? Sorry kama nitakukwaza ila nina confidence na ninachokisema!
   
 6. M

  Mtabe JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wacheni ujinga nyie kwani nani kawambia kua ukristo ni dini ya kweli? Nani kawambia kua mungu wanaemuabudu wakristo, yesu kua ni mungu wa kweli? Leteni dalili ili tuwaone basi.

  Yaliyotokea libya na sawa na yaliyotokea misri na tunisia hakuna wakristo kiundani kule ni wananchi tu bila kujali itikadi zao. Unataka tuamini kua vita ya libya ni tafauti?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  vita vyetu si juu ya damu na nyama (Pdidy umenena kitu cha busara saaana nakupa THANKS tena, ndo maana sisi hatuna mihadhara ya kashfa kwa dini nyingine sababu hatudili na damu na nyama tunadili na ROHO (spirit) zaidi.
   
 8. M

  MPG JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akafie mbali GADAFI waraabu wenzake wapo wapi wamsaidie,anasiku chache za kufa alizidi kuukafu Ukristo
   
 9. H

  Hardman JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  nyıe c ndo mnalılıa freedom of expressıon?....me nadhanı alıkuwa antumıa uhuru wake wa kuongea unachotaka
   
 10. networker

  networker JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  hahah i like this fanyeni hvi muombeni asife bali aishi ili tesekeke kwaza ndio afe kwa kulikubali jina la bwana kwamba ndiye mfalme
   
 11. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Haa Haa Haa,, Acha hadithi za Abunuasi,

  Eti mapinduzi ya serekali ya Libya yametokea kwa vile gadafi kapinga ukristo, usituvunje mbavu bwana.

  Wanainchi wa Libya wenyewe wametaka mabadiliko kama vile wanainchi wa inchi zingine jirani ya Libya.

  kama kweli mpaka sasa bado haujajua dini ipi ya haki, huko Akhera ndio utaenda kujua (Dini iliyotoka kwa Mungu ni ipi)

  Shukran.
   
 12. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Tuko pamoja ameutukana sana ukristo hdharani wako wapi kina GADAFI NI MSAIDIZI WA SHETANI unabisha google tafuta hapa SALMAN RUSHDIE SATANIC VERSES
   
 13. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Hata mimi sikupendezewa alipo jiita MFALME WA WAFALME,

  MFALME WA WAFALME NI MWENYEZI MUNGU PEKEE.
   
 14. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Je na Hussain Mubaarak aliutukana ukristo ?

  Acheni kujiliwaza kwa kutumia Baatil.
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
  kabla ya kufa lazima aokoke huyu nakuhakkishia
   
 16. serio

  serio JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,132
  Likes Received: 5,571
  Trophy Points: 280
   
 18. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  siku zimekwisha za gadafi!!!
   
 19. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
   
 20. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Kila mtu atakufa, kwani wewe utaishi milele ?

  Bora kufa kishujaa kuliko kilofa.
   
Loading...