JF Tanga Mpo?

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
11,542
12,402
Wadau wa JF Tanga naomba kuwa mgeni wenu katika jiji hilo wenyewe mwasema waja leo waondoka mwakani.

Ntakuwepo Tanga kuanzia tarehe 14-18 Juni 2011. Siku nne nikiwa Tanga naomba mnijuze mahala poa pa kula bata na pia sehemu poa kwa Accodation yny bei isiyozidi 25,000/- iliyokaribu na Nyinda classic hotel-Raskazone, ntapenda pia kujua clubs na sehemu za Misosi hasa pweza na zaidi kbs ni Company yenu nikiwa huko.

Asanteni!
 
Saa 12 wanafunga biashara na hoteli kwa hiyo hakikisha unakaa hoteli yenye chakula.
 
Wadau wa JF Tanga naomba kuwa mgeni wenu katika jiji hilo wenyewe mwasema waja leo waondoka mwakani.

Ntakuwepo Tanga kuanzia tarehe 14-18 Juni 2011. Siku nne nikiwa Tanga naomba mnijuze mahala poa pa kula bata na pia sehemu poa kwa Accodation yny bei isiyozidi 25,000/- iliyokaribu na Nyinda classic hotel-Raskazone, ntapenda pia kujua clubs na sehemu za Misosi hasa pweza na zaidi kbs ni Company yenu nikiwa huko.

Asanteni!

waja fanya nini yakhee
 
Nenda Sahare kwa Baba ubaya, utapata kila kitu,

Isisau kwenda Ikweta (Chumbageni) ukapte supu za kila aina ikiwemo ya pweza.......Pia kuna bonge la disco toto (ya usiku) wa Pweza pale karibu na Dolphin Inn...Chuda...

Enzi zetu huko vilikuwa viwanja vya nguvu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom