Nchi itaingi kizani

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
leo hii pamoja na wengi tulimbehua yule bwana ,kwa wakati ule alikuwa ndiye Mkurugenzi mkuu wa shirika la umeme Tanesco , alipotoa tahadhari , kwamba ni heri serikali ikanunua mitambo ya RICHMOND vinginevyo kuna htari ya nchi kuwa gizani. alikuwa ni mzee IDRSSA RASHID ,na ambaye pia aliwahi kushika nafasi kubwa huko BOT, hoja yangu hivi ni serikali inapompa mtu madara ya makuu kama yale huwa ni utashi wa kisiasa ama uelwdi wa huyo mtu.........?
 
Back
Top Bottom