Yu wapi Ngeleja?

Baiskeli

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
336
61
Amekuwa adimu si kawaida kuadimika kiasi hichi. Jamani huyu msanii namuamini sana kwa sanaa ya nyimbo za ngonjera.. Uwapi bwana william ngereja? hatuna updates za nishati zako za taa tunaona giza tu bila maelezo. Au unashughulikia nyimbo mpya ya symbion? Haya twasubiri....
 
Back
Top Bottom