Wanataka Rushwa ya Ngono..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanataka Rushwa ya Ngono.....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bushbaby, Jun 10, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Habari wana Jf....

  Naombeni msaada wenu, mdogo wangu wa kike anamalizia Diploma ya Business Administration anatakiwa kwenda field na amezunguka kweli kutafuta hiyo field but kila ofisi anayokwenda anaambiwa "nikikupatia nafasi ya field wewe utanipa nini.... na wanaouliza hivyo ni watu wazima....., na huyu ni mtoto wa kike wanachotaka hapo ni nini??.. mdogo wangu amekata tamaa kabisa ya kuendelea kutafuta field kwani sehemu kama nne hivi tena nyingine za serikali... majibu ni hayo hayo....

  Yupo Arusha na angependelea kupata field Arusha... naombe msaada wenu

  Asanteni sana
   
 2. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  TAMWA hapo wanahusika....
   
 3. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nikimpa sehemu ya field atanipa nini?
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  inaonesha angekua mkubwa ungeruhusu wamLALE.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu usifnye masihara....leo ni kwa mdogo wangu kesho ni kwa mtoto wako....
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mimi ni Mwanamke na nimesha pitia vipindi kama hivyo mara kadhaa. Muhimu ni kua wazi tu: ajibu kwamba anatafuta kwenda field, sio boyfriend ao mtu wa kulala nae. Jibu langu ni hili: Tuongee kwanza vya field sababu ndivyo vilinileta. Sina tabia ya kudevelop relation zingine hasa na watu nisio wajua. nikisha pata hiyo field attachment ndio nitaweza kuongea vingine. then akisha pata anamwambia tu: sorry, I am not interested. it sounds too easy to work but I can tell you, it does!
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hii ndio ukisikia kesi ya nyani imepelekwa kwa ngedere!
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwambie atoe kitu apate kitu! Now ni mwendo wa ubepari! Kama huna kitu hupati kitu! Akubaliane nao tu ili aweze kuachieve her dreams
   
 9. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo nyekundu umeijibu kwa kichwa cha habari yako, halafu unashangaa? Mwambie mdogo wako, huko duniani ni kama baharini, mdogo huliwa na mkubwa na mkubwa huliwa na mdogo. Mradi ajichunge tu au achaguwe moja kati ya hayo mawili.
   
 10. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,376
  Likes Received: 5,662
  Trophy Points: 280
  bush baby pengine na yeye aliwaingiaje unajua kuna system mabinti zetu wanaomba kitu huku wanalegeza macho pengine niulize na ni kakudanganya watu wazima awatamani,awazini,..pili umesema huyu mtoto wa kike ulitaka wapende wanaume..kaa vizuri na mdogo wako nionacho hapa asionyeshe anaharaka sana ya hiyo field..watamsumbua sana sana..,...,

  kingine amwombe mungu ampe favour..kibali cha kupenya unajua kuna vyeti avikupi kazi bali kibali cha mungu mwambie aombe kibali cha mungu kupita popote pale atapata sehemu nzuri tu..mi nina ushahdi ninayokwambia nilikuwa natuma vyeti vyangu kila sehemu vizuri muno muno wasemavyo wachaga lakini niliishiwa kuambiwa ahsante tumehifadhi tutakujulisha tena..nilipomjua mungu nikapata hili somo la favour..nakwambia akuna atakaekuzuia..unajua anyway nikupe kasomo kila mtu amepewa nyota yake ..so unakuta kuna watu wamekaa kufunika nyota za watu so unaweza kuwa na vyeti vizuri vya kupata field lakini unakuta wakiwa wanachagua yako inafunikwa na mapepo inaweza hata kurushwa pembeni..wanachukuliwa wasioambatana hata na field wanayoomba basi tu..so aombe kibali aombe toba kwa mungu alieofanya kwa kukusudia ama kutokusudia ..utakuja haapa kumtukuza mungu
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,376
  Likes Received: 5,662
  Trophy Points: 280
  mY DEAR rUSSIAN
  USITHUBUTU UNLESS KAMA UNA LENGO LA KUFANYA TU KAZI BORA AJUE MOJA NA SI KUMWAMBIA TUONGEE KWANZA ..ANAKUJA KUKUKAMATA MWISHO WA SIKU UNAMALIZA NI LAZIMA ASAINI NA ATIE MUHURIIWAKE LOH PANAKUWA PATAMU HAPO.....BORA ASEME WAZI SIWEZI AANGALIE ATAMPA AU LAH KUMWAMBIA KWANZA FIELD KINACHOFWATA MWISHO WA SIKU LAZIMA UJIBU
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yaelekea mdogo wako anashawishi mpaka jamaa wanashawishika lol

  Mwambie aende TAKUKURU nako najua wataomba awafikirie lol
   
 13. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,509
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Apige moyo konde atapata tu.......akikosa Field afanye resercch
   
 14. Polisi

  Polisi JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,087
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Be careful na mdogo wako. Haiwezekani KILA OFISI aombwe rushwa ya ngono. Kuna mawili, atakuwa mapepe sana au hana sifa za kuchukuliwa, anaishia kutoa visingizio
   
 15. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Du poleni sana kwa mitihani hiyo. Msaidie wewe mwenyewe kwa kumtafutia sehemu ambazo unapaamini. unajua siku hizi maadili yamepolomoka sana na dada zetu wamekuwa hawaambiliki kwa kuvaa mavazi yasiyo kuwa ya sitala yaani hutembea uchi wakidhani wamevaa nguo kwahiyo wanapokutana na wanaume ambao wana pepo la ngono lazima watawataka tu kimapenzi kwani muonekano wao hao madada huwa ni wa kushawishi ngono. naamini akienda amejisitili kwa maana ya kujistili hata huyo mtu itakuwa ngumu siku hiyohiyo amuombe ngono. ebu muangalie dada yako anavaaje kisha mshauri.
   
 16. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, kwanza pole sana. Pili hongera kwa kuwa unajihusisha na mambo ya mdogo wako vema.

  Ushauri wangu naomba mwambie mdogo wako kutobadilisha msimamo wake kwa kukubali kuutoa mwili wake ili apate nafasi ya field hata nafasi ya kazi.
  Pili, kukusa nafasi 4 isiwe sababu ya kukata tamaa. Let her never be quick to give-up. Life can fail her if she is givin up earlier like that.
   
 17. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  nilitegemea wewe ni mtu mzima kumbe ndo nyny mnaoweza kulala na watoto wenu dah? Pole sana nilifikir unaakil timamu kumbe zero
   
 18. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  BushBaby nakupa pole sana na usumbufu huo uliompata mdogo wako! Hii nikawaida kwa wanaume wakware kwa hii tabia nakumbuka ule usemi alioutoa muheshimiwa JK alisema eti ukitaka kula na wewe ujue kuliwa!
   
 19. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #19
  Jun 10, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Its simple awahusishe TAKUKURU ndo maeneo yao ya kujidai
   
 20. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Sasa kama Rais mwenyewe atasema hivyo tunaenda wapi jamani.... hiyo ni field tu...angekuwa anaomba kazi ingekuwaje??
   
Loading...