Nape ni kilaza: Magazeti, tv na ukiherehere wa magamba ndio umempa chat | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape ni kilaza: Magazeti, tv na ukiherehere wa magamba ndio umempa chat

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JIULIZE KWANZA, Jun 10, 2011.

 1. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  1. Hana sera
  2. Hana mbinu endelevu.
  3. Hana elimu ya uongozi.
  4. Hana msimamo
  5. Hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi,
   
 2. Kichwa cha panz

  Kichwa cha panz Senior Member

  #2
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 132
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dogo kibaraka yule kwani hujui, anafanya kazi kwa remote, hana tofauti na magamba ya zamani yaliyovuliwa..
   
 3. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Najua wapambe wake mtaanza ila niko hapa kwa ajili ya kuwajibu njooni tuu ila angalia gender name ya washing room usijeingia kunako najua mnalipwa
   
 4. M

  MPG JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NAPE ni limbukeni ANAWAZA KWA KUTUMIA MAKAMASI
   
 5. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #5
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa nimemsikia kwenye tv na magazeti kwenye kura za maoni magamba nikamuona ni mtu wa maana kumbe kitop sijui nepi mazakafa
   
 6. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwenye facebook kaandika utumbo kwa kumnukuu baba wa taifa alafu kashindwa kujibu badala yake anatumia mamuluki wake kumtetea, eti watz wanataka maendeleo yasipotoka ccm yatatoka njee ya ccm,,
   
 7. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Humu JF, na nyie ndio mnazidi kumpa chati huyo Nape. nadhani anaweza kuwa mtu anaetajwa sana humu JF, kuna katabia kakipumbuvu kamezuka kwa members wengi wakijibu hoja utasikia umetumwa na Nape
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Status zake za facebook wala huwezi kuzifananisha na wanasiasa wengine,yaani pointless.zamani nilikuwa nilipoona status zake nilidhani ana msimamo na anamaanisha,alipopanda tu cheo yaani akaanza kuharibu mambo,ndo utajua ni kibaraka na yupo kwa maslahi ya watu flani
   
Loading...