jamani tuache kujidanganya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani tuache kujidanganya!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by menny terry, Jun 10, 2011.

 1. m

  menny terry Senior Member

  #1
  Jun 10, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wa2 mbalimbali wamekuwa wakijidanganya hapa Tz kuwa eti CHADEMA kitachukuwa nchi huu niujinga na uvivu wa kufikiri ni kosa kubwa sana! Ni sawa na fisi kufuatilia mkonowa binadamu huku akijinadanya kuwa mkono utaanguka ili aule! Chadema kinashindwa kuangalia katika maandamano yake yasiyokuwa na tija wengi wanaouzuria ni wanaume na kuwa wanawake huwa ni wachache sana hali hii hainatofauti na enzi za mrema sio siri siasa za Tanzania ni za vichekesho .2 kunahaka kabwana mdogo kanaitwa zitto kabwe haka nakompaka leo hakatabiriki nakanaonyesha kameamua kurudisha umaarufu wake uliopotea kwa kukimbilia hoja nyepesi kama kufutwa kwa posho za wabunge huu ni mchoko mchafu sana.Ni miezi michache iliyopita gazeti moja linaloheshimika hapa nchini lilinasa mazungumzo yake na Rostam mtuhumiwa mkuu wa ufisadi nchini.3 CHADEMA ni majuzi wamekubali kununua magari used ya mbowe hukt wakijua umaarufu wao utaporomoshwa na tukio hilo! aliye na macho haambiwi tazama.Wanalaani matumizi mabaya mchana usiku wanafanya yaleyale mchana ni sawa na tax bubu mchana namba za njano usiku huweka nyeupe.Matokeo wameiharibu nchi yetu kila kukicha vurugu maandamano yamekuwa ndo fasheni shida yao nchi yetu ambayo nikisiwa cha amani isitawalike.CHADEMA hakina heshima hata kidogo wamemzalilisha JK kwa utoto wao na mawazo mgando yao kwa kutoka nje ya bunge halaft haohao wakamtambua baadae huu ni umamluki. Imebainika pia kinafadhiliwa na balozi za nje ili kiweze kuhatarisha amani yetu sasa cha kujiuliza je kama wakikamata nchi mikataba ya madini wanayopigia kelele itabadilika kweli je! Watalipa nini kwa hao wakubwa kama siyo madini? Tafakari chukua hatua.
   
Loading...