Msiba mwenge

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,955
2,071
Wanafunzi waliomaliza meta secondary form six 1996 na 1997 amefariki mwenzetu Yusufu Mgosi leo kwao mwenge kijijini,alikuwa mwanamichezo alichezea mwenge shooting,New kenda,mungu amlaze mahala pema peponi amina
 
Sad news kwa kweli.Jamaa tumecheza naye soka hapo Mwenge.Kwao ni pembeni ya uwanja wa mwenge shooting.
Alikuwa ni mmoja wa wachezaji wetu mahiri kabisa enzi zake.
R.I.P Yusuph Semtumbi.
 
Back
Top Bottom