Enzi za Rais Nyerere

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,516
1,865
Enzi za Mwalimu. J.K. Nyerere.
Kipindi cha baba wa taifa akiwa Rais, kila baada ya kikao cha baraza, alikuwa na tabia ya kumwambia waziri mmojawapo abaki. Waziri huyo aloambiwa alikuwa anakuwa na woga, wasiwasi yaani kuwa mkuu atamwamba nini. Vipi wakati wa Rais wa sasa (Mkulu)? akimwambia labda Ngeleja baki, unadhani ngeleja atakuwa na wasiwasi kama enzi za Nyerere?. Atajua dili jipya la kukata umeme, malizia na mengine.
 
Ukimwogopa mtu ni dalili ya kuonyesha kuwa unayo mwogopa ni mtu mbaya sana.

Kwa mfano,

watu wanaogopa nyoka lakini hawaogopi kuku.

Kuogopwa si sifa bali ni kasoro.
 
Pamoja na hayo lakini mleta mada ameeleweka na nina uhakika kitovu cha mada umekielewa pia
 
hofu katika hiyo inajenga tija. pia uwajibikaji. hicho ndo kinachoifanya china kuwa imara. sio nyie mnachekeana.
 
Back
Top Bottom