Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nigeria wamepitisha Muswaada Unao tambua ndoa za jinsia moja kuwa ni KOSA LA JINAI. Adhabu kifungo Jela Miaka 14. Wale watakao saidia kufanyika kwa ndoa hizo ni JELA miaka 10 Source,Mwanananchi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchina mmoja YUXIAN WENG hati ya ukazi RPA O31266 ISSUED DSM 28.7.2O1O amempiga afisa Uhamiaji cpl Mussa Mkubwa Abdallah wa Ilala hadi umepoteza fahamu hadi sasa. Amepelekwa Muhimbili Hospital na...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Nimekutana na mdau mmoja mzito wa Tucta wakiongelea kupanga kuaandaa mgomo mkubwa kutokana na kucheleweshwa mishahara ya wafanyakazi. Mpaka sasa wafanya kazi wengi kwenye halmashauri hawajapata...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jana niliongozana na basi dogo limeandikwa nyuma 'Masana Nursing College' likiwa limebeba akina dada na sare za manesi. Kila kituo cha dala dala walikuwa wakirusha vitu kama pakiti hivi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Patricia Kimelemeta na Aziza Masoud SHIRIKISHO la Wenye Viwanda nchini (CTI) limesema Sh40.5 bilioni zimepotea serikalini na viwandani mwaka huu kutokana na makali ya mgawo wa umeme. Upotevu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je iwapo watu wanakutana na uizi ambao siyo rahisi kuushtaki,ni mikakati ganiambayo vyombo husika vinaweza kupanga kuchukua dhidi ya makampuni husika?Unaibiwa 10,000 katika systeem,na unapiga simu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Pesa imemwagwa ausiri za Jakaya zimefichuka kiasi cha CCM kuamua kuyamaliza kifisadi. Kimsingi,tumenufaika kujua kuwa kumbe Richmond ni wawili yaani Lowassa na Jakaya Kikwetewanaomtumia mwarabu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanini salary asikue kwani yeye andunje jamani!!!
2 Reactions
12 Replies
3K Views
The UK has more obese women than any other country in Europe, according to European Union figures. Data agency Eurostat, which looked at 19 countries, found nearly a quarter of UK women - 23.9% -...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Katika Gazeti la Mwanahalisi la leo (30 Nov. 2011) kuna makala moja inayozungumzia jinsi taasisi moja iitwayo K.A.I (Khatamul Anbiyaa) ilivyoanzishwa katika Kijiji cha Mtimmoja - Monduli mwaka...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
next week nitasafiri kwa Shughuli binafsi kwenda Johannesburg, South Africa. Nitakua hapo kwa wiki moja, natafuta sehemu affordable ya kufikia shughuli yangu itakua Protea Hotel, Fire & Ice...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, leo asubuhi nikiwa mtwara stendi kwenye bus la sumry kabla ya safari ya kuja dar kuanza, aliingia ndani ya bus askari (trafiki) mwenye cheo cha koplo akajitambulisha na kuanza kutoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Iwe mvua inanyeesaha au hainyeeshi kunanuka,mifereji ya mavi katika soko tegemezi na makazi ya watu je wanaishi watu?na mabwana afya wapo? reporti za kila mwezi zinaaandikwaga?zinaandikwa nini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shule ya kwanza Duniani kufundisha mapenzi yaanzishwa huko Austria Posted by Tulonge on December 1, 2011 at 4:32pm View Blog...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele. Nimeanza mwezi wa kumi na mbili kwa faraja kuu. Kwamba ifikapo tarehe 09 natimiza umri wa miaka 50-sambamba na uhuru wa Tanganyika. Kwa kweli ni safari ndefu sana, na naomba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa jamaa kwa ukiritimba walio nao sasa kila kitu wanafanya wanavyotaka wao mteja hana kauri, hawamjari mteja kabisa customer care ni zero kabisa, walichonifanyia natamani kutukana lakini ngoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana katika kongamano lililoandaliwa na Bavicha wilaya ya Bukoba wamelalamikia kudhalilishwa ndani ya miaka 50 ya Uhuru kwa kutoa zabuni ya kuwamiliki vibarua katika bandari ya Bukoba. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Namnukuu maneno ya waziri Mkuu ndani ya bunge alipo waeleza wabunge kuwa watu wanaosadikiwa kuwa ni mafisadi wana uwezo wa kulitikisa Taifa ,hilo limesibitika katika kikao kilichomalizika juzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mijadala ya chinichini huko Zanzibar kuhusu anavyoonekana bungeni ni sehemu za wazi kwa mama huyu.wengi wanasema hawajawahi kumuona mama wa Kizanzanzibar sio tu baraza la wawakilishi hata...
0 Reactions
36 Replies
20K Views
MBUNGE wa Lindi Mjini, Salum Barwani (CUF) amesema anatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010/15 kwa kuwa chama chake hakikushinda uchaguzi mkuu wa urais. Barwani alisema hayo jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom