Well done Captain Lowassa and your Cabin Crew

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Namnukuu maneno ya waziri Mkuu ndani ya bunge alipo waeleza wabunge kuwa watu wanaosadikiwa kuwa ni mafisadi wana uwezo wa kulitikisa Taifa ,hilo limesibitika katika kikao kilichomalizika juzi nimekuwa nikiami kwa muda mrefu kuwa Captai lowassa he is a man real man,inafika hata mmoja ambae aliwahi kuwa head of state anaogopa kuhudhuria vikao anapokuwapo captan lowassa ,kwa kusibitisha hili hata hichi kikao kilicho malizika alishindwa kutia mguu pale NEC.
 
Back
Top Bottom