Tunaibiwa kielectronoc na makampuni ya simu/Tigo,JE MWALIJUA HILO? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaibiwa kielectronoc na makampuni ya simu/Tigo,JE MWALIJUA HILO?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aurelian Temu, Dec 1, 2011.

 1. A

  Aurelian Temu Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Je iwapo watu wanakutana na uizi ambao siyo rahisi kuushtaki,ni mikakati ganiambayo vyombo husika vinaweza kupanga kuchukua dhidi ya makampuni husika?Unaibiwa 10,000 katika systeem,na unapiga simu hawapokei,unaenda ofisini kwao wanasema hawapokeagi simu za wateja,na wakati simu inaita Inakula pesa zako,huu si uwizi mwingine?unaenda kupanga folleni pale ofisini kwao unaenda kutoa malalamiko lakini eti hawaoni accounti yako ulivyorecharge pesa kutoka tigo pesa,na umetumia au hujatumia,wanasema system ikileta shida inachukua pesa inaweka mahali alafu baadaye zitarudi,wakati huo haitajwu siku maalumu na wewe na shida zako,je ingekuwa ni mtu kakuibia unaweza kunyamaza,kama na ninyi mnakutanaga na hayo,tujadili tupate majibu tutawafanyaje HAWA WEZI?
  TEMU DAR.
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Dawa ni kuwasusa...
  Sijui wamekuwaje hawa watu? Anyways, nenda facebook, kuna ukurasa unaitwa 'tiGO Tanzania', uki-like huo kuna fomu ya malalamiko unajaza. It works, nilikuwa na tatizo katika tiGO PESA, nilirecharge halafu vocha haikuingia wakati akaunti ya tiGO PESA ishakatwa hela. Baada ya kujaza fomu mambo ikarudi kama zamani!
  Sawasawa?
   
 3. N

  NZURI PESA JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 4,034
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hamia VODA hawana longolongo hizo. kwao mteja ni MFALME na MALKIA!
   
 4. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Si uongo wanatuibia na hakuna pa ku "complain".
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Nimeshapiga customer service voda mpaka sikio linapata moto, hakuna anaejibu.
   
 6. Mrimi

  Mrimi JF-Expert Member

  #6
  Dec 1, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 1,673
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu, mimi nilishaachana nao tangu last month.
  Tulitangaziana humu ndani kuwapiga ban hadi watakapojirekebisha, siku chache baadaye nikasikia wametoa ofa ya nyongeza ya salio kila unapokuwa ume recharge. Lakini naona bado watu wanalalamika network, tiGo-Pesa nk.

  Kifupi hapa ni mtu mwenyewe kupima na kuamua analoona linamfaa. Kama vipi.........
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Tatizo kama hilo limeshawahi kunikuta, ilikuwa mwezi wa kumi. Nilinunua salio kwa njia ya tigo pesa, lakini hawakuniongezea muda wa maongezi. Nikaamua kununua tena kwa mara ya pili, hali ikawa ile ile. Nikaamua kuripoti tigo makao makuu Moshi, waka nakili namba ya simu na namba ya muamala. Nilikaa kama wike 2 wakanirudishia salio langu.

  Hawa jamaa kwa kiasi flani ni wababaishaji.
   
 8. B

  Bob G JF Bronze Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kila eaneo ni wizi mtupu na wewe ni mwizi pia,
  Mara ya mwisho kutoa fungu la kumi ilikua lini? wote sisi wezi na ndo maana tunaibiana
   
 9. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Njooni ZANTEL wakuu, hakuna wizi wa namna hiyo. VIVA JF.
   
 10. M

  MR NDEE Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Makampuni ya simu karibu yote ni WEZI,unawapigia simu kwa garama hawapokei hadi inakata wakipokea wanaongea kichefuchefu, unaweza tuma sms kwa mtu isende ukikomand zaidi unashangaa badae umekatwa zile sms zote zimeenda hawa ni WEZI,MAJAMBAZI, MATAPELI,MAKUPE
   
 11. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #11
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Mi wanachoniboa customer care hawapokei cmu at all.wana matatizo gani?
   
Loading...