Natamani TANESCO ifutike kabisa tupate shirika mbadala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani TANESCO ifutike kabisa tupate shirika mbadala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Calist, Dec 1, 2011.

 1. C

  Calist Senior Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawa jamaa kwa ukiritimba walio nao sasa kila kitu wanafanya wanavyotaka wao mteja hana kauri, hawamjari mteja kabisa customer care ni zero kabisa, walichonifanyia natamani kutukana lakini ngoja niwe na subira.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hayo ni matunda ya miaka 50. anyway, si Tanesco tu, mashirka mengi ya uma yako hivyo, na yako hivyo kwa sababu Watanzanuia wenyewe tumeyruhusu yawe hivyo. Kama tungekuwa tunadai huduma bora na kuthaminiwa kama wateja, wala wasingefikia hatua ya kumuoina mteja kuwa ni **** na wakaendelea kubakia
   
Loading...