Mwanasiasa Mh. Ummy Ally Mwalim kutoka Zanzibar anavuka utamaduni na maadili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasiasa Mh. Ummy Ally Mwalim kutoka Zanzibar anavuka utamaduni na maadili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Nov 29, 2011.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kuna mijadala ya chinichini huko Zanzibar kuhusu anavyoonekana bungeni ni sehemu za wazi kwa mama huyu.wengi wanasema hawajawahi kumuona mama wa Kizanzanzibar sio tu baraza la wawakilishi hata bungeni kuwa kichwa wazi kama anavyojiachia yeye.wengi wanajidai kukaa kichwa wazi sio utamaduni wa Mzanzibar ambae kwa kiasi kikubwa ni jamii ya kiislameti wanasema wabunge na wawakilish au hata mwaziri, manaibu waziri wanaotoka visiwani haijawi kutokeakujiachiaEti wangi wanasema kutojistiri kichwa kama wanavyofanya.wanauliza kuna tofauti gani kati ya naibu waziri huyu mwenye jina la kiislam na mchungaji MAMA LUWAKATARE?
   
 2. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh washaanza kukompliketi!!!!
   
 3. t

  thatha JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ukpita kwenye maskani na baadhi ya nyumba za ibada utasikia manunguniko ya chinihini kuhusu appearance (mavazi) anapokuwa bungeni.
  eti wapo wanaojidai sio utamaduni wa Mzanzibar kukaa kichwa wazi mbele ya hadhara kama hii. na wanafananisha maavzi yake kama ni kinyume cha maadili
  ukiwasikiliza vizuri husema japo kuvaa ni chaguo la mtu binafsi. lkn wanafananisha akina mama wa baraza la wawakilishi na wabunge kutoka zanzibar ambao hakuna anaevaa bila ya kufunika nywele zake

  wanasema eti hata wabunge ambao wa upizani wanaotoka zanzibar hufuata maadili ya kizanzibar wanapokuwa sehemu za hadhara.
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  bakwata mbona kimya nao?
   
 5. N

  Nyamanoro JF-Expert Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 60
  Mawazo mgandoooooooo, hhaaaaaa!!!
   
 6. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  weka picha hapa! Jf style!
   
 7. F

  FJM JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kufunika nywele ni utamaduni wa kizanzibari au jambo la kiimani? Na kama ni suala la kiimani (dini) serikali haina dini hivyo bunge lingetakiwa lisiwe na sign yoyote ya dini yoyote! Huu mtindo wa kuvaa maushungi hata kwa watoto wa shule za msingi ulishika kasi wakati CUF wameingia. Na inakuwaje kila kukicha zogo linakuwa kwa wanawake wanavaa vile, wanawake hawadumishi utamaduni?. Suti za wanaume ni utamaduni wa mzanzibari? Kwa nini wanaume wanavaa suti bungeni na sio mishipi? Kwa nini utamaduni uwe ni kwa wanawake tu na sio wanaume?
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  BAKWATA wazeee wa kilemba cha DC wa Igunga mpo wapi? Tunaomba tamko hapa.
   
 9. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  "Mawazo mgando hujadili tabia za watu, mawazo makini hujadili njia za maendeleo"
   
 10. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ujinga sijadili............!!!!!
   
 11. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nyie wazenji acheni upuuzi wenu hapa.
  Labda kama ni Ummy mwingine...kama ni huyu waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsi na watoto mjue kwanza siyo mzenji bali ni mtu wa Tanga huyu.Mwacheni mdada wa watu.
  Kaeni na mitandio yenu hukohuko!
   
 12. Igabiro

  Igabiro JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Uvivu wa kufikiri
   
 13. luck

  luck JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 768
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  kumbaff.....kajifunze kujenga hoja ndo urudi hapa
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hawa jamaa wagumu kweli kuishi nao.......... wanaangalia kichwa cha mbunge lakini wanasahahu yale mashoga wabunge wao wanayokuja nayo pale dodoma

  aisee
   
 15. Bu'yaka

  Bu'yaka JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 841
  Likes Received: 420
  Trophy Points: 80


  [​IMG]
  Na huyu alizitosa hijabu na baibui?
   
 16. t

  thatha JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  eti wanasemahawaoni tofauti kati ya Mama luwakatare(mchungaji)naibu wazirihuyu. wanauliza akifa azikwe kwadini gani?
   
 17. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Naskia kula tigo kulianzia zenj, wanafiki sana hawa mabwana, wanatumia mwamvuli wa dini isivyo
   
 18. t

  thatha JF-Expert Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ACHA JAZBA NA MATUSI, HUYU BIBI UTADHANI SIO MUISLAM KABISA. AU ANADHANI KUSOMA KWAKE KUNAMFANYA ASAHAU DINI? WANGAPI WAMESOMA? HAKUMUONA BI FTMA MAJIMBI? HAMUONI BI HAWA GHASIA? HAWAMUONI BI MWANTUMU MAHIZA? HUYU MAMA ANATAKIWA ABADILIKE NA ASISAHU KAMA IPO SIKU ATARUDI KWA ANAEMTAKA AJISTIRISOMA HAPA{Ewe Mtume ) صلى الله عليه وسلم ) waambie wake zako, na binti zako, na wanawake wa Kiislamu wajiteremshe uzuri nguo zao. Kufanya hivyo kutapeleka upesi wajulikane (kuwa ni watu wa heshima) wasiudhiwe. Na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kusamehe (na) Mwingi wa kurehemu} Al-Ahzaab 33: 59
   
 19. t

  thatha JF-Expert Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  acha jazba.matusi ni mwiko. huyu mama anatakiwa ajue kama ni muislam basi afuate maamrishoo yake angalau bais kujistiri.kwani ni tusi kubwa naubaya uliowazi mwanamke mwenye imani ya kiislam kukaa mbele za watu kujiachiasomahapakablaya kuleta matusi{Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao, na wazilinde tupu zao, wala wasionyeshe uzuri wao isipo kuwa unao dhihirika. Na waangushe shungi zao juu ya vifua vyao, wala wasionyeshe uzuri wao ila kwa waume zao, au baba zao, au baba wa waume zao, au watoto wao, au watoto wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kaka zao, au wana wa dada zao, au wanawake wenzao, au iliyo wamiliki mikono yao ya kuume, au wafwasi wanaume wasio na matamanio, au watoto ambao hawajajua mambo yaliyo khusu uke. Wala wasipige chini miguu yao ili yajuulikane mapambo waliyo yaficha. Na tubuni nyote kwa Mwenyezi Mungu, enyi Waumini, ili mpate kufanikiwa} An-Nuur 24: 31
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mimi naamini huyu mama ameteleza, ajistiri .vyenginevyo basi aritadi nakuungana na akina mama lukatare katika misa
   
Loading...