Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wapendwa wana JF, Wengi mna uzoefu wa ubora wa haya majenereta madogo ya wachina,nataka kununua moja kwa matumizi ya nyumbani tu,bajeti yangu ni sh.300,000/ niambie brand gani ina unafuu hasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ikiwa watu wote ni sawa, basi tugawane ardhi ya nchi yetu ili kila mtu afe na kipande chake. Kilomita za mraba nchi nzima zinafika 945,087, Ukiamua kuzigawa kwa watu mil 40 kwa mfano. Kila mtu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’ (pichani), anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa yake, wapo...
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Wakuu nimekuwa najiuliza hivi watu ambao ni wakulima wananafasi gani katika nchi hii Teusi nyingi hata zile za Kisiasa kama uuwaziri , ubunge, Uuu wa mkoa, Uuu wa wilaya , nk wengi wanaopewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo majira ya saa8 mchana nilimsindikiza my wife alikuwa anasafiri na Fly Emirates....nilimfikisha JNIA(JULIUS NYERERE INT. AIRPORT) Salama salimini...niliendelea kukaa maeneo ya kiwanja mpaka saa...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Hii nimeipenda! Da yaani watoto huko Ntwara sehemu za Tandahimba wako hatarini kuambukizwa virusi vya ukimwi kutokana na mangariba wnaowatahiri kudaiwa kutumia kucha zao kama zana za kutahiria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilipoona mazingira ya kufilisika kwa Sara aliyepewa bajaj na mr President, nilitafakari ya kwamba, kumpa hiyo bajaj bila msaada wa mafuta ya kuiendeshea kumepelekea, duka lake kufilisika. Msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka mwaka jana mwishoni wakati Shekhe na Mtabiri maarufu nchini na nje ya nchi akisema watakufa watu wengi maarufu mwaka 2011 watu walimwona kama kaishiwa.... Sasa wadau mkiangalia mpaka...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimekua nikikerwa na hii tabia ya kulaumu kama sio kulaani wanyama,sizungumzii binadamu.kua ni wakatili kupita maelezo,utasikia mtu anasema fulani anatabia za kanyama,au unyama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi na makazi mh. Anna Tibaijuka atatembelea ENEO LA MRADI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI[na kufanya mikutano ya hadhara] KAMA IFUATAVYO:-kata ya kigamboni[machava]-tar 6/12/2011, kata ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefurahi kuona mabadiliko kidogo kama waswahili wasemavyo mficha uchi azai jamani nimeona nisiwe hivyo katika biashara yoyoyte hakuna biashara inayofanyika bila matangazo watu wengi wamekuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba mdau mwenye data anisaidie, naitaji kujua Exchange Rate ya USD 1 = na TZSH ngapi. Naomba mwenye data hasa za jana na juzi ndo muhimu maana daily uchumi unayumba! NOTE: SHUKRANI ZA DHATI...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Fatou Bensouda from The Gambia is set to be named the new chief prosecutor of the International Criminal Court, diplomats say. Source: BBC Inabidi tuomboleze Jaji mkuu wetu kaukosa ulaji
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Wana JF naomba mdau ambaye anayo softcopy ya Mpango wa maendeleo wa miaka mitano wa Tanzania (2011-2016) anitumie tafadhal. Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesoma thread ya Faiza Foxy isemayo kuwa Nyerere hakuwahi kuwa raia wa Tanzania. Nimejaribu kuijibu mtandao ukagoma. Kwa ufupi ni kwamba mtu anayeshuku uraia wa Nyerere ni mgonjwa wa akili...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepita hapa mt.meru hotel nasikia usiku kunafundraising inafanywa na kina sitta nyarando na wanasiasa wengi huku wamealika vizito wengi wa hapa arusha.mwenye kujua zaidi atujuze jaman.niko hapa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna tetesi kuwa Tanzania haina Ubalozi nchini Botswana na badala yake Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Botswana ziko Afrika kusini. Kama ni kweli, kwanini inakuwa vile? Je ni nani Balozi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Retired US president George Bush has applauded the government for proper management of aid funds in the health sector, saying his government is keen to continue providing financial support.Bush...
1 Reactions
1 Replies
997 Views
December 03 Saturday 2011-Tanzania | Tourism Advisories Traveller's Guide: Tanzania Mount Kilimanjaro This stunning nation celebrates 50 years of independence on Friday, but its wonders...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dhana ya kujivua gamba CCM inasuasua kutokana na nguvu ya kisiasa waliyonayo watuhumiwa.Je nguvu hii inatokana na uadilifu au ukwasi? Kama sababu ni uadilifu ni kwa eneo lipi? Na kama ni ukwasi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom