USHOGA NA UCameroon Nigeria Marufu-muswaada wapitishwa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

USHOGA NA UCameroon Nigeria Marufu-muswaada wapitishwa..

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, Dec 1, 2011.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Nigeria wamepitisha Muswaada Unao tambua ndoa za jinsia moja kuwa ni KOSA LA JINAI.
  Adhabu kifungo Jela Miaka 14.
  Wale watakao saidia kufanyika kwa ndoa hizo ni JELA miaka 10
  Source,Mwanananchi
   
 2. K

  Kifulambute JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,500
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  safi sana lakini shoga wetu watapitisha hiyo hoja
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,850
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  .
  Safi sana. Huu ni mfano wa kuigwa na mabunge yote ya Africa.
  .
   
 4. MpigaKura

  MpigaKura JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 25, 2007
  Messages: 385
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wamethubutu (bila kuhofia misaada ya Cameron) na wameweza...
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,929
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Bado tz
   
 6. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nani atamfunga paka kengele wakati kinara ni mdau???????????
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,321
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ushogaaaaaaaaaaaa............ Duh umasikini wetu unatuponza jama mweee
   
Loading...