Mzabuni wa vibarua ashitakiwa kwa Halima Mdee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzabuni wa vibarua ashitakiwa kwa Halima Mdee

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUDO, Dec 1, 2011.

 1. KAUDO

  KAUDO Senior Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana katika kongamano lililoandaliwa na Bavicha wilaya ya Bukoba wamelalamikia kudhalilishwa ndani ya miaka 50 ya Uhuru kwa kutoa zabuni ya kuwamiliki vibarua katika bandari ya Bukoba.

  Kwa mujibu wa maelezo yao kwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee mzabuni aliyeshinda tenda ndiye anamiliki vibarua wanaobeba mizigo katika bandari ya Bukoba ambao humlipa shilingi 200 kati ya 500 wanazolipwa kwa ubebaji.

  Wamesema wamechoka na uhuru wa bendera na wanataka uhuru wa kweli hata kama utawagharimu.Kongamano linaendelea nasubiri nondo za Mdee.
   
Loading...