Sehemu ya Kufikia JOHANNESBURG, StarsWhitely Street | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sehemu ya Kufikia JOHANNESBURG, StarsWhitely Street

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uswe, Dec 1, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  next week nitasafiri kwa Shughuli binafsi kwenda Johannesburg, South Africa. Nitakua hapo kwa wiki moja, natafuta sehemu affordable ya kufikia

  shughuli yangu itakua Protea Hotel, Fire & Ice, Melrose Arch Whitely Street, Melrose Arch PrecinctProtea Hotel, Fire & Ice, Melrose Arch, Lakini hawa jamaa bei yao iko juu kuliko budget yangu

  kama unafahamu sehemu naweza kufikia ambapo ni karibu na hapo mahali tunapofikia, budget yangu ni USD 80 per night max
   
 2. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
Loading...