Ni ugumu wa maisha au nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni ugumu wa maisha au nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwanamayu, Dec 2, 2011.

 1. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Jana niliongozana na basi dogo limeandikwa nyuma 'Masana Nursing College' likiwa limebeba akina dada na sare za manesi. Kila kituo cha dala dala walikuwa wakirusha vitu kama pakiti hivi. Walipofika pale Makongo, kulikuwa na wanawake wa makamo na mmoja wao aliwahi kwa haraka sana kuokota hicho kilichorushwa na hao manesi wanafunzi, hivi ni kweli ile haraka ilikuwa ya kuwahi condom au alidhani ndio zali la mentali?!
   
Loading...