Kariakoo je ni miaka 50 kweli?mabwana afya wapo? Kwanini mavi mavimavi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kariakoo je ni miaka 50 kweli?mabwana afya wapo? Kwanini mavi mavimavi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Aurelian Temu, Dec 1, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. A

  Aurelian Temu Member

  #1
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Iwe mvua inanyeesaha au hainyeeshi kunanuka,mifereji ya mavi katika soko tegemezi na makazi ya watu je wanaishi watu?na mabwana afya wapo? reporti za kila mwezi zinaaandikwaga?zinaandikwa nini kwa hali kama hiyo?tujiulize kama watu wenye akili timamu,Wataalamu wapo uchafu haufuatiliwi au miundo mbinu haiko sawa,hatua gani sinachukuliwa juu ya hali hiyo wandugu?
  Au Rushwa ndiyo chanzo cha yote,mbona ukiwa kwako cho hakipo utachukuliwa hatua?


  NI HATARI SANA TUJADILIANE UKWELI ULIVYO>

  By
  MR TEMU

   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Pole sana broda.
  Karibu Dar es salaam...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...