Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

http://www.youtube.com/watch?v=eUB9B2XfxVw&feature=player_embedded http://www.youtube.com/watch?v=naM5bR4DmOU&feature=player_embedded Source: gptz
0 Reactions
180 Replies
24K Views
Mtandao wa airtel umekuwa na matatizo makubwa sana silu hizi kwani haupatikani na uko very unreliable na hawatoi maelezo yoyote. Hii kweli ni saea?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hivi jiji kama mwanza lenye ziwa mjini linakosa maji jiji zima? Leo ni siku ya 7 hakuna maji jiji zima la mwanza,sijui nani alaumiwe? Jamani viongozi wa mwanza embu fanyeni mpango wa maji hii ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima yenu JF.Hadi sasa nashindwa kujua wandishi wa habari wa Tanzania wanawaza kwa kutumia nini. Waandishi wa habari wapo kila pembe ya nchi yetu lakini bado wanaogopa kuongea ukweli wa jamii...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Ndugu zangu wapendwa, hizi pesa zinazotumika kusherehekea miaka 50 ya Uhuru kwanini zisilipie wadogo zetu walio kosa mikopo ya Higher Education Student Loan Board-HSLB?. Mnajua hii nchi haina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kweli taarifa za waziri wa mambo ya ndani ya nchi na za kamanda Kova hazikuwa za kuchakachua, zilizotiwa mafuta ya kisiasa ili kuhalalisha vyama vya siasa na wanaharakati wengine...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ozone layer depletion: an encumbrance within geoengineering limits Geoengineering the ozone layer is...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
Kila jua lichomozapo, watu huanza pilika pilika za kuisaka shilingi pamoja na mahitaji muhimu. Kila mtu anakuwa na haraka ya kutaka kuwahi mambo yake. Ukiwa katika harakati zako unaingia bank kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Muheshimiwa Sugu baada ya ile burudani uliyoitoa pale Dar siku ya tarehe 26/11/2011 sasa imebainika watu wa mikoani nao wanashauku kubwa sana ya kuipata ile ladha ya Anti-Virus uliyowapa watu wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajf, Hivi mama yako akikuambia kuwa baba yako alinibaka, nikapata mimba, ndo ukazaliwa wewe mwanangu X. utamkana baba yako hata kama ubakaji ni kosa la jinai? Huwezi kumkana baba yako kwa...
12 Reactions
49 Replies
5K Views
wanajamii, umofia kwenu! Kuna gazeti linachapishwa nchini tanzania linaitwa uhuru. Hili gazeti halionekani kwenye meza wala sehemu yoyote ya kuuzia magazeti! Je, kwanini haliingizwi sokoni? Kama...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Aslam alekhum wanajamvi. Hivi karibuni kumezuka tetesi nyingi sana kuhusiana na serikali yetu kuchelewesha Mishahara. Ningependa kujua ukweli wa hili jambo kupitia watumishi wa UMMA mliopo humu...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Wana jf hebu 2jikumbushb misemo(quotes)za wanaharakti mbalimbali mfn;"freedom's coming tommorow"ya mh. Lema hivi majuzi
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wna Jf Nimeona sasa ni bora nitangaze rasmi kuanza harakati za kugombea ubunge,kwani kwa upande wangu naona ndio kazi inayolipa baada ya maposho kebekebe kuongezeka Posho=elfu 80 nje ya jimbo...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hapo vipi? Kuna kaukweli kokote kale?
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanajamvi ninaomba kwa mtu yoyote kutoka Tanesco ama Wizara ya Nishati na Madini(AKA Wizara ya kugawana honoraria bila kufanya kazi) atuweke wazi kama anafahamu lolote kuhusu mgao wa umeme, kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The situation in Tanzania is real seems to be uncertain given the current situation associated with demonstration, unnecessary arrest of civilian, economic hardship, poor social services status...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
katika mchezo wa mpira wa miguu kuna aina ya chenga inayofahamika kama kanzu,mpira unapitishwa utosini na adui yako. Taarifa ya habari ya saa mbili leo usiku kuna habari mbili ambazo mkuu wa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Nasoma gazeti la Raia Mwema, nashangaa kuwa linatuhumu watu bila kuwataja majina, kama halina ubavu wa kutaja majina si likae kimya, uandishi wa kiijumaa kwenye gazeti la siasa sio sahihi!ukiamua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Diwani wa kata ya Tunduma na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mbozi wamezuru eneo la soko lililoteketea vibaya kwa moto na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom