UWEKEZAJI MPYA: Wamasai Walazimishwa Kubadili Dini Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UWEKEZAJI MPYA: Wamasai Walazimishwa Kubadili Dini Monduli

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dudus, Nov 30, 2011.

 1. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,746
  Likes Received: 6,021
  Trophy Points: 280
  Katika Gazeti la Mwanahalisi la leo (30 Nov. 2011) kuna makala moja inayozungumzia jinsi taasisi moja iitwayo K.A.I (Khatamul Anbiyaa) ilivyoanzishwa katika Kijiji cha Mtimmoja - Monduli mwaka 1999 kwa malengo mazuri ya "kuwaendeleza ki-elimu bure watoto wa jamii ya wafugaji" na huduma nyingine za kijamii, badala yake ili kupata huduma wananchi wanalazimishwa kubadili dini kwanza ili kupatiwa huduma.

  " ... kwa mrefu tangu wafugaji kwa kushirikiana na uongozi wa kijiji tulipompokea jirani huyu tulienda vizuri sana watoto na jamii kwa ujumla ilifurahia huduma ya elimu lakini mwaka 2007 alianza kubadilika kwa kuingiza masharti ya dini yake na kulazimisha wazazi wote kusaini mikataba ya makubaliano ili ufadhili uweze kupatikana".

  ... Masharti mengine ni kila mwanafunzi anayesoma kwenye Shule ya Msingi ya Khatamul Anbiyaa lazima ahudhurie vipindi vinne vya ibada kila siku kulingana na imani ya dini ya mwekezaji ...

  " ... wakati mwingine watoto walikuja kulalamika nyumbani kwamba wanalazimishwa kuingia kwenye vipindi vya dini ambako mwalimu wa somo hilo anayeitwa Ustaadh anawabadilisha majina yao kwa nguvu jambo ambalo sio halali kwani kila mtanzania ana haki ya kuamini kitu anachokipenda tena kwa hiari ...".

  Source: Mwanahalisi - 30 Nov. 2011.


  Haya wajameni, uwekezaji huo unakuja kwa sura na masharti ya ajabu ajabu.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,266
  Likes Received: 22,017
  Trophy Points: 280
  dini za mashetani bwana, mpaka ujiunge ni lazima udanganywe
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  waumini wanapotafutwa kwa nguvu
   
 4. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  .............. kwani wameshikiwa bunduki ! makafiri nusra hiyo imawajia !
   
 5. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 996
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  mhhh hivi kweli serikali ipo???? au hii Tanganyika kubwa sana mpaka watu wanashindwa kutawala??
   
 6. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wajue kila bure ina maana yake...hakuna bure isiyo na upande wa pili...kama hawajui waende mombasa...!!Kabila langu bana wanapenda sana bure...hawachelewi kucamerooniwa kwa kupenda mteremko duuuh AIBU SANA...!!:embarassed2:
   
 7. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  "......... Waachilie mbali walioifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa Dunia ukawadanganya. Nawe kumbusha kwayo isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyoyachuma, nayo (hiyo nafsi) haina mlinzi wala muombezi ila Mwenyezi Mungu.Na ingetoa kila fidia haitokubaliwa. Hao ndio walioangamizwa kwa sababu yale walioyachuma. Wao watapata kinywaji cha moto kabisa, na adhabu chungu" Quran: Al An'am 70.
   
 8. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  "...................Enyi makundi ya majini na watu ! Je, hawakukujieni Mitume kutokana na nyinyi wenyewe wakikubainishieni Aya Zangu ? na wakikuonyeni mkutano wa siku yenu hii (Kiama) ? Nao watasema: Tumeshuhudia juu ya nafsi zetu. Na yaliwadanganya maisha ya Dunia. Nao watajishuhudia wenyewe ya kwamba walikuwa makafiri" Quran: Al An'am 130.
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  That ins't a religion. It 's a cult....and it must be outlawed before it spoil the entire Monduli
   
 10. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Dini ikikosa waumini ndo hivyo!
   
 11. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aisee! Kuna jamaa ananiambia eti wale mapadre na maccta wanaowarubuni watu kwa nguo za mtumba,maziwa na viatu kule vijijini eti pia ni mtego wa kuwanasa watu ili waende kwa yesu! Dah! Kama vile magambaz kanga na kapelo. Kaaazi kwelikweli.
   
 12. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,746
  Likes Received: 6,021
  Trophy Points: 280
  Kwenye gazeti la Tanzania Daima leo kuna makala nzuri sana inachambua utetezi wa Seikh Ponda Isa Ponda kwa Al-Shabaab ambapo mwandishi ameelezea maana halisi ya ugaidi. Kwamba ugaidi, kwa kiingereza "terrorism", ni kitendo cha kujaribu kufikia malengo fulani kwa "kueneza hofu kuu au vitisho" katika jamii. Ndivyo magaidi wafanyavyo shughuli zao duniani kote na kwa kawaida huanza taratibu kama wahisani fulani hasa kupitia jamii maskini na zisizo na uelewa mkubwa wa mambo. Kwa kupitia umasikini huo, taratibu hisani hubadilika kuwa masharti fulani na hatimaye huwa LAZIMA.

  Ni muhimu vyombo vyetu vya usalama vikafuatilia suala hili kwa umakini wa hali ya juu vinginevyo taratibu Monduli na Umasaini kwaweza kubadilika kuwa "Kismayu", "Baidoa", na hata "Boko Haram" ya Tanzania. Tutakuwa tumechelewa.
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyo mwekezaji anatakiwa asimamishwe haraka-
  hivi swala kama hili ukitaka kuriripoti wapi ambapo panahusika sana?naomben muongozo juu ya hili
   
 14. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ibilis ni yule kiongozi wa dini anawafila waumini wake
   
 15. Kadamfu

  Kadamfu Senior Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  m2 akikariri utamjua 2
   
 16. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  Nyongeza; Ibilisi ni wale wanaosema 'Mungu kabila yake Mnazareti'
   
 17. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hakika dini ya kweli itajulikana tu. Dini mtu analazimishwa? LOL
   
 18. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mr Shetani hawezi kupingwa na mtumishi wake, na ndiyo kazi ile unafanya،
   
 19. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  suratul al an'am130 ni kwa kiarabu, na kwa kiswahili ni sura ya WANYAMA! nguruwe hakosi! Tumieni kiswahili bana!
   
 20. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hiyo mistari unayoweka hapo inakufaa wewe na waabudu majini wenzako tu, sisi wengine tunakuona kama fuko la kinyesi lililosahauliwa kituo cha bus
   
Loading...