Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hivi kuoneshwa kwa silaha za kivita ktk maadhimisho ya uhuru kulilenga nini kama sio kuwatisha wananchi wenye muelekeo wa kimageuzi kuwa serikali inazo silaha nyingi na za kutisha
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tangu ulipoingia mfumo huu wa vyama vingi nchini. Wananchi wengi wasio na elimu hasa vijijini walipandikizwa imani kuwa vyama vingi husababisha vita. Ndio maana kumekuwa na wimbi la mabadiliko...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tulieni kwenye Viti. Show karibia inaanza. Mnataka ngoma ganiiiii!!!!!
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Naomba wadau 2juzane hili na kuritafakali kwa kina. Baada ya sherehe ya miaka 50 ya uhuru kuhitimishwa jana katika uwanja wa taifa (shamb la BIBI). Sherehe hizi ziliwanufaisha sana wachache na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nimejenga kisima ili nivune maji ya mvua hapa hapa DSM naomba wenye ujuzi wanijuze hivi kisima cha urefu wa futi 14 na upana wa futi 8 kina ujazo wa lita ngap? Asanteni
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Naangalia hafla ya viongozi mbalimbali kutunukiwa nishani TBC 1 sasa hivi,kulikuwa na photo session basi hapo ndipo nilipochoka,wacha mheshimiwa Rais aanze kuwagombeza,"changamkeni, muda wa picha...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakati wa kumbukumbu ya mashujaa, mkuki na ngao huwekwa juu ya makaburi ya mashujaa, pamoja na sime. Halikadhalika, pindi rais anapoapishwa, hukabidhiwa zana hizi kuashiria kitendo cha kuilinda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kile kilichoagizwa na magogoni tumekikamilisha na sasa ni safari ya Dar es Salaam! Kazi ilikuwa ni moja tu, ni Kabila kushinda uchaguzi na sisi tumetekeleza kwa vitendo! Bila shaka wengi mlikuwa...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Wenyewe naona wanaonyesha vizuri kuliko tbc1. wanazo kamera nyingi. sijui kwanini waliwanyima kuonyesha live. Mia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau sasa miaka 50 ya uhuru ishapita,what next? Siasa,uchumi,ajira,posho kule mjengoni na pia sijawasikia wanaharakati muda mrefu
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Nini maana yake?kusema saratani imefika kikomo,kwa nini usubiri hadi saratani ifikie kikomo ndio umwache mtu huru?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miaka hamsini sasa,Tanzania bado hatujapata antvirus ya kutuwezesha kuiscan nchi yetu,katika kufafanua hilo ntaeleza yafuatayo. MOJA: NAOMBA KUELEZA AINA YA VIRUS TULIONAO 1.MIAKA YA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi... Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake.. Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya...
0 Reactions
69 Replies
7K Views
Wanajamiiforums wote mlioko Dar es salaam karibieni mnazi mmoja kwenye mkesha wa kusherehekea miaka hamsini ya uhuru wa nchi hii.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wana JF; Hongereni kwa miaka 50 ya uhuru! Ni kitu cha kujivunia sana, lakini, jamani, pamoja na mazuri yote (sina hakika kama yanazidia mabaya) shame on us Tanzanias!!!! How is this possible...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
01101110011000010111011101100001011101000110000101101011011010010110000100100000011101110110000101010100011000010110111001111010011000010110111001101001011000010010000001110111011011110111010001100...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeshangaa kusikia kuwa abiria ameweza kuingia na silaha kwenye ndege pale JKN airport bila kugundulika. Lakini cha kushangaza zaidi ni kwa jinsi ambavyo hii issue inachukuliwa kiwepesi. True...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Maura W. Mwingira ni afisa ubalozi New York-AugustineMwingira mmojawapo wa mawaziri kwenye serikali ya awamu ya kwanza na mkuu wamkoa kwenye serikali ya awamu ya pili na rafiki mkubwa wa Benjamin...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
US to use foreign aid to promote gay rights - Yahoo! News WASHINGTON (AP) — The Obama administration is announcing a wide-ranging effort to use U.S. foreign aid to promote rights for gays and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Limeibuka kundi la watoto ambao wanakaa kwenye traffic lights na kuvizia magari then wanaosha vioo (wind screens) bila hata kumuomba dereva kufanya hivyo. Then wanaomba uwape hela ya kula...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom