Maonesho ya silaha miaka 50 ya uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maonesho ya silaha miaka 50 ya uhuru

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by A-town, Dec 10, 2011.

 1. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hivi kuoneshwa kwa silaha za kivita ktk maadhimisho ya uhuru kulilenga nini kama sio kuwatisha wananchi wenye muelekeo wa kimageuzi kuwa serikali inazo silaha nyingi na za kutisha
   
 2. S

  Selungo JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu!

  Wala usihofu kabisa mkuu. Silaha zenyewe mbona ni zile zilizo tekwa wakati wa vita ya Idd Amini kule Uganda! Nimadude ya kizamani mno. Huoni mengine waliamua kuyapaka rangi nyeupe kwenye magurudumu ili kuficha kutu na uchakavu!!
  Hebu ujaribu kuangalia mitambo ya wenzetu Kenya. Ni silaha za kisasa kabisa na wala hatuthubutu kulinganisha kabisa.
   
 3. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu wala usitishike.ni utamaduni uliozoeleka nchi nyingi kufanya gwaride na kuonesha vifaa/silaha za kijeshi.hii humaanisha kuwa jeshi lipo imara kwa ulinzi wa mipaka ya nchi. Wasikudanganye,silaha hata ikiwa 'yuzdi' inauwa kama kawaida.. Kilicho oneshwa pale kinawakilisha baadhi tu ya silaha tulizonazo.silaha ni silaha,zote zna lengo moja;kuua na kuharibu iwe ilitumika kwa idd ama adolf zote kaz yake ni moja.
   
 4. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,342
  Likes Received: 6,687
  Trophy Points: 280
  Hivi ndo zote zile?au kuna zingine hawakutuonyesha?
   
 5. D

  Danniair JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tena wajue kuwa LLIIBBYYAA i.e Libya ilikuwa na inazo silaha nyingi na za kisasa kuliko hizo, vile vile kaburu wa Afrika Kusini. Lakini inachoamua ni nguvu ya mageuzi ambapo mageuzi ni ya WATU. Hao hao waliozipitisha silaha hizo ndo hao hao watakaowasaidia watu kuleta mageuzi kama ilivyo sasa kwa Siria. Haturudi nyuma kwa kuogopa fimbo hadi kieleweke. Madini Yetu na TRL virudi mikononi mwetu. Hatutaki tena viwanda vya Bia na minara ya simu tunahitaji viwanda vya bidhaa inayoshikika na inazalishwa hapa na sisi wenyewe. Hatutaki majigambo ya Ujenzi wa mabara bara wakati ni misaada toka Japani ikisimamiwa na wafungwa wa Ufilipino huku wasomi wetu wakidharauliwa. Tumechoka iko siku vile vifaa vya kivita vitageuza mitutu na kuelekea kuliko na uonevu wa kuimega Keki ya taifa hili.
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Hao wanafanya kuwaua watu kisaikolojia ila hatuogop tuzidi kusonga mbele
   
 7. D

  Danniair JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Miaka 50 unaonyesha utaalamu wa wengine wa kutengeneza risasi! bora kama wangekuwa wanasema, "sasa linapita deraya iliyotengenezwa Tz ...", ningewapa tano. Mbona hakukuwa na bidhaa za viwandani au mitambo ile chakavu ya viwanda walivyo ua wakati wa chaguzi za kwanza za vyama vingi? Sasa walikuwa wanajivunia nini hiyo 50 yrs? Au kwa kuwa Barabara na majengo havibebeki?
   
Loading...