marudio ya sherehe za uhuru itv sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

marudio ya sherehe za uhuru itv sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 10, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Wenyewe naona wanaonyesha vizuri kuliko tbc1. wanazo kamera nyingi. sijui kwanini waliwanyima kuonyesha live. Mia
   
 2. n

  nndondo JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 534
  Trophy Points: 280
  lakini hiki ndio kichekesho yaan hizi TV hazina ubunifu kuanzia jana hakuna tunachoangalia zaidi ya kurudishwa kwenye vifaru na wanajeshi sasa kuna sababu gani tena kuturudishia vipindi hivyo hivyo leo? Hizi TV hazina wabunifu, na cha kufurahisha ni pale tu tunapoona kwamba shughuli yenyewe ikiwemo hiyo ya kitaifa haina kitu kabisa yaani hakuna ubunifu ni yale yale yale yaani zaidi ya hao wazee 17 walioshuhudia uhuru TV zote zimeendelea kuwahoji watoto waliozaliwa jana habari za uhuru yaani hata hujui hao waongoza hivyo vyombo hawaangalii wenzao wanachofanya?

  Rosemary
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  itv hawana jipya? Au wamepewa fungu?
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hizi picha za leo ni tofauti na za jana. hii inaonyesha kila kitu bila upendeleo wala matusi. Mia
   
Loading...