Bajeti ya sherehe ya miaka 50 ya uhuru noomaaa yaongeza umasikin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bajeti ya sherehe ya miaka 50 ya uhuru noomaaa yaongeza umasikin

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LEGE, Dec 10, 2011.

 1. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Naomba wadau 2juzane hili na kuritafakali kwa kina.

  Baada ya sherehe ya miaka 50 ya uhuru kuhitimishwa jana katika uwanja wa taifa (shamb la BIBI).
  Sherehe hizi ziliwanufaisha sana wachache na kuwapa nafasi mafixad kutanua.

  Naomba wanajamvi 2tafakari sherehe hz toka maandaliz yameanza mpaka kuhitimishwa ni gharama kias gan zime2mika??
  Ukiangalia kwa ufupi 2 pale uwanja wa taifa ni gharama kias gan zime2mika.Ukijumlisha na mafisad nao hawakuwa nyuma kuandika invoice/risit zenye gharama feki.

  Hivi hizo pesa zilizotumika kufanya sherehe hizo zimechukuliwa ktk mfuko upi?? Au kwenye bajet ipi??

  Au 2kae tayari na mkao wa kula kwaajiri ya kuubeba mzigo huo wa hizo gharama kwa njia yoyote ile.

  2sishangae ongezeko la bei,kodi au makusanyo na makato ya mishahara kwa wafanyakazi??

  Kama 2ngepata gharama halisi ya maandalizi ya sherehe hiyo fedha hz zisinge weza ku2tatulia matatizo sugu km umeme,maji,zahanati,madawati,mikopo vyuon,pembejeo za kilimo na barabara???
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Nilidhan umekuja na figure!
  Halafu punguza m0bile language(sms typing),hata sisi wengine tunatumia SIM
   
Loading...