Siri yafichuka CHADEMA kuhusu Katiba ya nchi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri yafichuka CHADEMA kuhusu Katiba ya nchi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Dec 8, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wanabodi...

  Hatimaye Chama cha Demokraia na Maendeleo (Chadema), kimeonyesha uhalisi wa rangi yake..

  Kinataka kushinikiza aina ya katiba kinayoitaka kwa ajili ya faida na maslahi yake ya kisiasa na siyo vingenevyo.

  Siku moja tu baada ya kutiwa saini muswada wa sheria hiyo, Kaimu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, alisema walimshauri Rais kutosaini muswada huo..

  Watanzania wapenda amani wanamuliza John Mnyika, awaambie ni lini miswada yote ya sheria iliyopitishwa na bunge lilelile ambalo naye mbunge iliwahi kupelekwa kwa wananchi wote na kujadaliwe huko kwanza..

  Chadema wamemkabidhi Rais rasimu ya katiba ambayo walijifungia ndani kisha wakaiandika bila kuwasharikisha wananchi na kuibuka nayo Ikulu..

  Tunaomba watuambie walikusanya maoni hayo kutoka wapi ili tuone kama ni kweli hawakujifungia chumbani au wameyapata kutoka kwenye makongamano mbalimbali hapa Tanzania..

  Watanzani wapenda amani wameiomba serikali isikubali kuyumbishwa na kikundi kidogo cha wanasiasa na wafuasi wao..

  Hivyo wakataka mchakato wa kupata katiba mpya kwa ajili ya maslahi ya taifa uendelee.
   
 2. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Najilaumu hata kwa nini nilifungua hii thread bila hata kusoma jina la mtoa mada.
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  mashudu
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  sijaisom a hata thread yenyewe najua ni upupu
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tuwekee hiyo rasimu tuione!
   
 6. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  KUMBE!!! walienda na kumkabidhi mh. Rais kwa vicheko.. wakadhani Rais ataachana na mawazo ya waliowengi.! isitishe yalipigiwa kura! na wabunge waliobaki bungeni

  binafsi mi naona JK alifanya kitendo cha kishujaa ku sign ile kitu!
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Kwanza kabisa inaonekana Chadema inakutesa sana, halafu huelewi hata kinachoendelea,
  Chadema hawakupeleka rasimu ya katiba ni rasimu ya muswada wa sheria ya kuunda tume ya kukusanya maoni,
  na mwisho kama unauliza Chadema walikusanya wapi maoni tuambie hao wapenda amani ni kina nani na lini mlikutana.
   
 8. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Angalia hoja ya CDM kwanza kabla ya kuruka ukishangilia ukidhani umepatia kumbe uko offside.
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Dec 8, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,754
  Trophy Points: 280

  Hapo kwenye red unamaanisha wabunge wa CCM na hawara yao CUF kama sikosei.
   
 10. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #10
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  :A S thumbs_down:
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kuchangia hii thread ni sawa na kukubali kuwa nyumba ndogo au mwanamme *****, mie siwezi haya yanawezwa na CUF
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Dec 8, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Ritz,

  Hoja hii hawaijibu kabisa. Watakuja na matusi na kumvaa mleta hoja.

  Maoni mliyatoa wapi? Chumbani.

  Kwa kuongezea tu, Slaa aliona haya kwenda Ikulu. Zitto aliiponda akasema "nnaumwa" ntie nendeni tu. Hapo sasa!
   
 13. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #13
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  mmesikia OBAMA lakini? msikurupuke, aaaaaaaaaaaaaaah nimesahau kuwakumbusha OBAMA kaungana na yule PM wa GB/UK/ENGlish aaaaaaaaah samahani namaanisha ENGlishLAND. Kuhusu mambo yaleeeeeee!! sasa sijui tuyaweke kwenye katiba ili tupate missaaaada jamani tafadhari niungini mkono ktk hili eti ba ndugu
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  FaizaFoxy.
  Mods wana mapenzi mabaya hii thread ilikuwa jukwaa la siasa wameitoa!
   
 15. N

  Nsuri JF-Expert Member

  #15
  Dec 8, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 997
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 60
  Mtoa mada kafanana na anvatar yake!!!
   
 16. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #16
  Dec 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,212
  Likes Received: 10,550
  Trophy Points: 280
  nahisi kutapika.
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Dec 8, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Jaribu kupima unaweza kuwa mjamzito!
   
 18. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,255
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Tena inafaa waipeleke jf chit chat...
   
 19. m

  mkipunguni Member

  #19
  Dec 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  topic imeoza kama muanziashaji wake
   
 20. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #20
  Dec 8, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  Kikwete haijui, salva hakuiona, michuzi ange-skani peji kwa peji kamera apecha zingegoma kufunguka! uhuru lingeuweka ukurasa wa mbele, tbc wani wangeupa kipindi maalumu waupondeeeee!!!!!!! mnyama kutoka gombe wahasira angepata cha kusema, stela matomato angerembua kwa luninga zote nchini huku akitukana, nape mhh! nape angepata kam bak doo kuji-clinsi baada ya gamba ku........, mngeshuhudia tabasamu la mukama, mwigulu angetulia kunde kibao halafu mba-mba-mba-fyuuuu! yale mabom ya ffu hayaoni ndani, hapa namaanisha kemiko wa fea! ene wei kiukweli ritz umechoka kiakili, umechoka sana. Kama vipi pumzika kupost ili angalau urifresh maind.
   
Loading...