Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa star times vp? kumvalisha star wa movie jezi za AC Milan wakati tuna wachezaji halisi wa mpira wa miguu hapa bongo maana yake nini? je ni kudharau wachezaji wetu ama?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ule mpambano wa kukata na shoka uliokuwa unazikutanisha timu mbili kati ya simba ya Tanzania na Asante kotoko ya Ghana umemalizika ambapo simba wamaefanyiziwa tena. Kipindi cha kwanza kimeisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toka mwaka uanze kumekuwa hakuna mada ya kujadili zaid ya miaka 50 ya uhuru.Sasa ishapita wapi watajificha mafisadi?Sasa kutakuwa hakuna mada zaidi ya kuwajadili wao tu....Labda walete jambo jipya...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Unanunua gazeti la Nipashe. Unasoma habari muhimu zilizokuvutia kulinunua gazeti, halafu unaendelea kwenye matangazo mbalimbali. Unakutana na tangazo hili ''NZOGANILWA: Ni dawa ya mvuto...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumbo linajengwa na wenye matumbo bana usiku mwema
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wakati mwingine tuwetunaweka ushabiki we2u pembeni,hii timu ya barca ni noma!kwani wengi walijua leo madrid atafanya mauaji ya haraiki!lakini mambo yamekwenda kinyume kabisa,na hasa huyu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sunday, 11 December 2011 09:45 Na Sanjito Msafiri, Kibaha MADAKTARI na wauguzi wa Kituo cha Afya Muhoro, Rufiji mkoani Pwani wanalazimika kutumia mwanga wa tochi ya simu ya mkononi usiku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi JF members Jana tulikuwa tukiadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika kwa mtazamo wangu kupitia Star TV Sherehe hizi Mwanza - zilidoda watu wachache walijitokeza uwanjani Tabora - zilifana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
...ya kulinganishwa akili yako na ya M.kwere wetu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
leo nimeshuhudia jamaa amekoswa kidogo kuwekwa kwenye tairi baada ya kuitiwa kelele za mwizi. Huyu jamaa alikuja kwa jirani yetu kudai pesa yake aliyokuwa anamdai huyo kibosile ambaye kwa sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TIME PUBLISHED - Sunday, December 11, 2011, 6:00 am TODAY’S SCRIPTURE “With him is an arm of flesh; but with us is the LORD our God, to help us and to fight our battles.” (2 Chronicles 32:8...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Narudia tena Kauli yangu,Maadhimisho haya. Ya miaka 50 ya uhuru...ni genge la watu fulani kufanikisha wizi wao... Watu wamenunua magari Watu wamejenga manyumba Wameongeza mifugo Wamelipia ada...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kile kipindi kinacho onyesha maisha halisi ya mtanzania ndo kinaendelea sasa hivi startv. hiki kipindi mi naona kinamuumbua Rais wetu kikwete sababu ni tofauti na miaka hamsini ya TUMETHUBUTU...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika hoyuba yake kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru (wa Tanganyika au Tanzania) Raisi Dr Dr Kikwete ameendelea kulalamika ya kuwa hali mbaya ya uchumi wa Tanzania inatokana na misingi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nchi hii wajanja wengi. Niliwahi kusikia lile jengo la airtel walifunga mkataba na mwenye kiwanja,mkataba wa miaka zaidi ya mia moja.migodi ya dhahabu miaka 80-100 au jamani nchi ndo inauzwa nusu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ajali imetokea japan hivi karibuni na imehusisha Ferrari 8,Mercedes Benz 3 na Lamborgini moja. Magari yote haya ni ya kifahari na ya gharama kubwa. Hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 millioni. The...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wale wote wenye Mawazo finyu ya kujiona wao wana uchungu na nchi hi mpaka kuwaza kuifia ni wazi mtindio wao utakuwa umekaa vibaya. Waliopewa dhamana na wananchi ya kuilinda,kuitetea kwa hali na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ajali imetokea Japan na imehusisha magari 8 aina ya Ferrasis,3 aina ya Mercedes Benz na Lomborgini moja. Magari yote haya ni ya bei mbaya ,hasara inakadiriwa kufikia $ 3.85 milioni. Source BBC.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa sasa niko Mwanza natafuta kioo original cha Simu ya NOKIA N82.Pls mnisaidie.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu wanne wamepoteza maisha papo hapo baada ya taxi kuvaana uso kwa uso na lori maeneo ya kinyanambo,mafinga mkoani iringa.Ajali imetokea baada ya taxi kujaribu kumkwepa mwenda kwa baiskeli na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom