Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jana kuna jamaa ameweka thread,mengi tu ameyasema na kuropoka kuhusu Arusha.Wadau naomba mnijuze wapi maisha ni rahisi? Ukiangalia Dar,Pwani,Zanzibar,Tanga,Lindi,Morogoro,Mtwara n.k n.k ndo kuna...
0 Reactions
46 Replies
11K Views
M/kiti wa UVCCM wilayani Arusha,Bw.Godfrey Mwalusamba amefiwa na mkewe. Redioni.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
naamini wengi wetu tumeangalia mechi ya leo kati ya kili stars vs uganda cranes.mechi ilikuwa nzuri na timu yetu ya taifa ilipigana kufa na kupona lakini walizidiwa kimchezo.kitu cha kusikitisha...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu huu naweza kusema ni mtazamo wangu kwakua nimetembea mikoa tofauti hapa Tanzania. katika mkoa huu wa Arusha nimekaa kwa muda mrefu na kuishi na watu wa jiji hili haswa niseme nimebobea...
5 Reactions
97 Replies
21K Views
Wadau, hapa nilipo sasa ivi ni maeneo ya manzese, na hakuna umeme na ninafanya survey na kugundua kwamba si manzese tuu ambapo hakuna umeme...kuanzia maeneo ya magomeni hadi manzese ni giza. Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini za asubuh wanajamii! Poleni na uchovu wa kutafuta dinari! Naomba kujua hivi leo tunasheherekea miaka 50 ya uhuru au miaka 50 ya amani? Na kama ni uhuru! Uhuru upi tunaousherekea?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muda huu nasikia vishindo vya juu sana kutokea kama maeneo ya ubungo au kimara. naomba mnijuze ni nini kinachojiri?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Utafiti wa hivi karibuni uliochapishwa na gazeti la kila siku la Daily Nation la Kenya umeonyesha kuwa Kenya inaongoza kwenye somo la hisabati kwa shule za msingi huku Tanzania ikiongoza katika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hawa wazungu kufika hapa walipo wametoka mbali na kupitia changamoto kibao. Maendeleo yako yametokana na jitihada katika kutafuta majibu ya shida zao katika mazingira yao. Juhudi hizo zimewasaidia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndiyo, kwa asiyeamini, hebu angalau baadhi ya mambo yanayothibitisha utajiri wa nyota huyo. Anamiliki jumba la kifahari katika vilima vya Sekuku jijini Kampala, pia ana nyumba huko Arizona...
0 Reactions
22 Replies
13K Views
Mwanajeshi mmoja wa JKT ambae alitakiwa kushiriki katika gwaride la miaka 50 uhuru hapo kesho. Source uchambuzi magazeti magic
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Inawezekana umefikia kipindi cha kukata tamaa,mambo hayaendi,uliyemtegemea amekuacha,kazini mambo ndo vivyo tena hayaendi!Usikate tamaa,we fanya yafuatayo: Zungumza na Mungu kwa maombi (Yohana...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
veta tawi la mwanza imetangaza kozi hii mpya kuanzia januari 2 mwakani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu wa Tanganyika Musikubali kuwa mateka wa ccm kwamaslahi yao binafsi bora muwe mateka wa Tanganyika kwakwa uzalendo wa historia ya nchi yenu. Hivi sasa Wazanzibar wanajipapatua na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mgomo umeanza chuo kikuu kipya cha Tanga Erckenforde. Sijapata chanzo hasa ila tangu mwanzo kulikuwa na dalili za ulaghai mkubwa,jamma wanakusanya pesa tu. TCU na bodi ya mikopo fanyeni follow up...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika hali ya kustaajabisha Bw.Jing Jiang raia wa China aliyeshiriki kujenga reli ya TAZARA (UHURU) ameangua kilio kama mtoto baada ya kuwaona "vijana" wenzake wa enzi hizo waliofanya kazi...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
JF.wakubwa tujikumbushe wenyewe ktk elimu yetu 1.Katoka baba mmoja toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja .... 2.Karuka tena karuka mtini hakufikia ...... 3.Baba ana ng'ombe,Ng'ombe ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nape live chnl 10,amenishangaza eti amesoma kwa shida,wkt baba yk alikuwa kiongozi tena anasema hajawai kushikwa mkono mtu.wadau kwali?
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Mamia ya wagonjwa pamoja na wazazi wanalala chini wakati posho ya wabunge kwa siku ikizidi mshahara wa kianzio wa walimu na polisi.Tunapoelekea tunapajua?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo wanatangaza kwa ENGLISH mechi ya Tanganyika na uganda!Nahisi kama naangalia UEFA.Tendo linakwenda na mpira.Watangazaji wa kibongo goli halijaingia yeye kisha shangilia.Tayari tuna goli 1...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom