Saa ya kupiga picha imeisha....sitaki picha...inasikitisha, kwa nini mnamchosha Rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saa ya kupiga picha imeisha....sitaki picha...inasikitisha, kwa nini mnamchosha Rais?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by pinkmousse, Dec 9, 2011.

 1. pinkmousse

  pinkmousse JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naangalia hafla ya viongozi mbalimbali kutunukiwa nishani TBC 1 sasa hivi,kulikuwa na photo session basi hapo ndipo nilipochoka,wacha mheshimiwa Rais aanze kuwagombeza,"changamkeni, muda wa picha sasa, changamkeni giza linaingia",na maelekezo mengine,mwisho akasema, "basi sitaki tena picha zinatosha"(huku mikono inaongea kwa nguvu kuashiria hataki), yani niliona aibu kwa niaba yake. Why! a simple thing like a photo session mpaka aingilie na kupoteza utulivu, wahusika walikuwa wanazubaa wapi?, siku nyingine wachangamke ili mheshimiwa atulie tu bila kuonekana micro manager....just saying
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ah,bado unafuatilia tu ishu za uhuru?
   
 3. pinkmousse

  pinkmousse JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  da kama ni rais mnae!
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  yaani sijui mwaka 2015 itafika lini..
   
 6. F

  Froida JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,903
  Likes Received: 1,330
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nimeona makanjanja wa Ikulu hawaeleweni Raisi mkali Salva kaingia msituni mtu wa itifaki anapiga kelele ovyooooooooooooo
   
 7. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Rais wenu ndivyo anavyopenda hivyo. Hapo alikuwa anajishaua tu!
   
 8. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  :A S 465::photo:
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  kwakuwa haujui umuhimu wa uhuru ndio maana unashangaa.
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  viongozi wako wa Chadema tayari wameshamkubali. Wewe unasubiri nini?.
   
 11. S

  S.M.P2503 JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 463
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Sio kujishaua mkuu.. ni kawaida yake kuwagombeza watu wanapokuwa karibu naye wakati yeye akiwa anafanya mambo yake ya picha...kumbuka alipokuwa anahutubia bunge la jamaica 25.11.2009... alisikika akimgombeza msaidizi wake na kusema..shika...usisimame hapo... bila kujali kwamba yuko live ...akihutubia sikiliza mwenye na angalia video hiyo.. link hapa chini...angalia hasa kuanzia dakika ya 30.35 na kuendelea

  Link
  President Jakaya M. Kikwete (Tanzania) addessing the Parliament of Jamaica Video
   
 12. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Una roho ngumu, huoni unavyojidhalilisha humu? Pu@@@@@#7u! Wewe
   
 13. only83

  only83 JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Ni kawaida ya serikali ya JK..legelege....
   
Loading...