Watoto wa mitaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa mitaani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bitabo, Dec 9, 2011.

 1. Bitabo

  Bitabo JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 1,896
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Limeibuka kundi la watoto ambao wanakaa kwenye traffic lights na kuvizia magari then wanaosha vioo (wind screens) bila hata kumuomba dereva kufanya hivyo. Then wanaomba uwape hela ya kula. ukikataa na ukawa hujafunga vioo, unaipata habari yako...
  Hebu wanasiasa na waheshimiwa wa wizara ya kazi na vijana. hebu jaribuni kufikiria miaka kumi ijayo hawa vijana watakuwa wakina nani hapa nchini????????
   
 2. F

  Froida JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Mfumo wa ustawi wa jamii chini ya idara ya ustawi wa jamii wizara ya afya umekufa ,wizara ya maendeleo ya jamii imechukuliA SWALA LA WATOTO YATIMA NI LA KISIASA TABU kweli kweli
   
Loading...