Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huwa nabaki kulegea viungo vyote kasoro vile vinavyohusiana na utoaji wa uchafu mwilini. Yaani Tanzania ni ya ajabu sana. Mvua ikinyesha kidogo tu, umeme unakatika, jua likikomaa nayo taabu, umeme...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijawahi kukopa salio, lakini leo nimestaajabu kupata sms kuwa nimekopa sh. 1200/= na ninatakiwa kulipa 1320/= huu ni wizi dhahiri, tume ya mawasiliano haina meno, inaacha wahuni wanaojiita...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mtikila amekuwa mtu wa kwanza tz kudai na kuweka wazi kuwa uhuru ni wa tanganyika na si tanzania hvy anaimiza tz idai uhuru wake pia ni muhasisi wa mchakato wa madai ya katiba japo wajanja...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
leo tumesherehekea miaka 50 ya uhuru wa tanganyika, lakini watoto tunaojaa leo wanajiuliza tanganyika ipo wapi kwani katika muungano zanziba unaipata na serikali yake je tanganyika serikali yake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
From TEMI MARELLE in Moshi, 8th December 2011 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 76 CHIEF Marealle II developed good relationship with religious institutions, with his administration giving...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Huyu bwana amekuwa mtata sana kuhusiana na mambo mbalimbali ndani na je ya bunge; mfano: Posho za Wabunge Mkutano wa CDM na Rais CDM Kususia Bunge . Huyu bwana anaongea kwa mamlaka sana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hawa viongozi wa nchi wana nichanganya kila asubuh inapokuja. Sherehe ya Miaka hamsini ya UHURU iliyoandaliwa na Genge la watu fulani ili kuiba rasmali na fedha za watanzania kwa kisingizio cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dogo kafunguka! msikiliza hapo chini, ......Kwa hisani ya wavuti My favourite part, mgao wa haki mahakamani tayari umeshaingia Wimbo uliokataliwa redioni: Miaka 50 ya Uhuru - Wavuti
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Na Mwinyi Sadallah 9th December 2011 Makanisa mawili yameharibiwa kwa kuchomwa moto na kubomolewa na watu wasiojulikana visiwani Zanzibar. Tukio hilo lilisababisha polisi kurusha risasi hewani...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
<Wenye neema na wao,Sie masikini wanyonge na Dr.Salim, Magufuli na Slaa wetu> Hata mtoe air time kidogo kwenye media na thread za hawa waheshimiwa watendaji,lazima tubadilishe santuri sio kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, Jana niliona Taarifa ya Habari ITV wanafunzi wakichafua hali ya hewa mbele ya Balozi na mawaziri,leo asubuhi nimesikia wanafunzi kama 58 hivi wamesimamisha,Tanzania Zaidi ya uijuavyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wandugu tumshukuru Mungu miaka 50 ya Tanganyika tumekula tujiandae na miaka 50 ya Muungano then kuna miaka 50ya jeshi TZ nchi ya mashereeee
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nipo hapa ndani ya hospitali ya Mount Meru dakika hii na nikashuhudia Landrover ya police ikimteremsha marehemu na kwa kuwa bado nipo hapa bila shaka nitawajuza kichotokea na ni wapi...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Sijafurahishwa na jinsi vyombo vyetu vya habari vinavyochukua matukio uwanjani hasa TBC maana ndiyo ninayoangalia hivi sasa. Wakati magari ya kivita yakipita sambamba na ndege za kivita, wapiga...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi sielewi, je tunasherekea uhuru wa Tanganyika ipi? Kwani kuna nchi inaitwa Tanganyika? Mm ninavyojua kuna nchi inaitwa Zanzibar kwan wana katiba, bendera na rais wao, lakin hakuna nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ebana hili ishio la Al-Shaabab kuwepo kwenye Maandamano tu na Sio kwenye makutaniko ya Watu Wengi haswa Uwanja wa Taifa Mkuu wetu wa Police Mbona Kimya
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajeshi wa JWTZ wamefikishwa kizimbani kwa kukamatwa wakisafirisha bangi gunia 12 kutoka iringa kuzileta jijini DSM.. Source: mwananchi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasherekea miaka 50 ya uhuru. Je, ni upi? Kutoka ujinga? Kutoka maradhi? Kutoka umaskini? Ufisadi? Mateso ya wananchi? Njaa? Inauma zaidi pale watu wengine wanapokumbuka kupoteza wapendwa wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hv hk ktendo cha m2 kufa then unanza kumuombea ili afufuke hl jambo lmewah kutokea ktk karne h? Jaman kwa mwanaharakat kama lema ckutegemea kuona kama angeweza kupoteza muda wake kumuombea m2...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Jamani hata kama nchi haina kiongozi mzuri Kama Tz leo, Bado tunahitaji urithi wetu ulindwe vema. Hasa WIMBO wetu mtukufu wa TAiIFA. Sijui ni nani mwenye mamlaka ya kuulinda, nasema sijui. Siku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom