Natafuta antvirus ya nchi yangu tanzania,wana jf mwenye link aitupie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta antvirus ya nchi yangu tanzania,wana jf mwenye link aitupie

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by raia tz, Dec 9, 2011.

 1. raia tz

  raia tz Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 91
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Miaka hamsini sasa,Tanzania bado hatujapata antvirus ya kutuwezesha kuiscan nchi yetu,katika kufafanua hilo ntaeleza yafuatayo.
  MOJA: NAOMBA KUELEZA AINA YA VIRUS TULIONAO

  1.MIAKA YA SITINI TULIKUWA NA VIRUS KAMA UMASKINI MARADHI NA UJINGA,AMBAO KIMSINGI WALIONEKANA KULA MAFAIL YA NCHI YETU KAMA VILE,MAENDELEO,UHURU,BIDII YA KAZI UJASIRI NA MENGINE.INGAWA KUNA FAILI KAMAVILE AMANI LIMEHIMILI MIKIKI MIKIKI YA VIRUS HAWA.

  2. TULIFANIKIWA PATA VIONGOZI WA MWANZO AMBAO NAWEZA WAFANANISHA NA ANTVIRUS AMBAO WAMEKUJA KUSCAN VIRUS HAWA.KATI YAO WALIFANIKIWA KUSCAN BAADHI,WENGINE WALIONGEZA VIRUS MKUU(UFISADI).
  3.MBAYA ZAIDI KUNA BAADHI YA ANTVIRUS WAMEGEUKA KUWA VIRUSE NA KUANZA KUTAFUNA MAFAILI YALIYOPO.ANTVIRUS WENGINE WAMEONGEZA VIRUSES KAMA VILE.UDINI,MATABAKA YA WENYE NA WASIO NA.

  4.KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI YANAYOTENGENEZA ANTVIRUSES (VYAMA VYA SIASA) VIMEWEZA LETA MATUMAINI YA KUPATA ANTVIRUS NZURI,NA MENGINE YANAWORK UNDERLICENCE YA MAKAMOUNI YALIYOSHINDWA ZALISHA ANTVIRUS IMARA.

  HITIMISHO:

  NAOMBA WANA JF TUSAIDIANE KUTAFUTA ANTVIRUS,HII NI KWA KUCHANGIA KUELEZA VIRUS NI YUPI ANAYETAFUNA MAFAILI YA NCHI YETU NA ANTVIRUS WAKE TUNAMPATAJE. WANAOWEZA SCAN NCHII HII,ILI IBAKI SALAMA.TUNAPOELEKEA SASA TUNAELEKEA KU CORRUPT.

  "NATAFUTA ANTVIRUS YA NCHI YANGU TANZANIA,WANA JF MWENYE LINK AITUPIE."
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ninayo ni kuiba pale upatapo ofisi
   
Loading...