Mkuki na Ngao: Miaka 50 ya Uhuru TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuki na Ngao: Miaka 50 ya Uhuru TZ

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Dec 10, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wakati wa kumbukumbu ya mashujaa, mkuki na ngao huwekwa juu ya makaburi ya mashujaa, pamoja na sime.

  Halikadhalika, pindi rais anapoapishwa, hukabidhiwa zana hizi kuashiria kitendo cha kuilinda katiba ya JMT.

  Zana hizo bado hazijapitwa na wakati, kwani hata mwaka 2015, rais mteule atakabidhiwa baada ya kuapishwa.

  swali :- Kwanini jana hazikuonyeshwa ili kuzienzi zana hizo ambazo akina Mkwawa na hata kwenye vita vya majimaji zilitumika?
  - Nini mantiki ya rais kukabidhiwa zana hizo katika karne hii 21? iwapo jana tulishuhudia zana zile za kijeshi?
   
 2. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni Ishara ya kumkubali Rais kuwa Mtawala/shujaa wa jamii husika iliyomkabidhi Mkuki na Ngao
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Wakati mwingine nahisi kama ni mazindiko. kwani anayemkabidhi mara nyingi ni wale wazee wa jadi.
   
Loading...