Vyoo ni muhimu kwa binadamu,na kila familia inatakiwa iwe na vyoo.Jana,Mgambo wamelizimika kukamata familia zaidi ya kumi katika vijiji vinne vya mkoani Tanga kwa kukosa vyoo,walivyohojiwa...
Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya ndege isiyo na rubani ya Marekani katika anga ya Iran na kusema Iran haitaacha uhasimu huo wa maadui bila jibu...
Tunaamini unaweza,nakumbuka ulitutafutia vijana ajira kwenye kiwanda cha TPC mwaka 2000 wengi tulinufaika nazo ingawa ni wachache.Tunaomba tuwe na kiwanda chetu hapa wiliyani, hatakwakupitia kwa...
kuna mabadiliko yametokea ghafla kwenye maisha yangu,labda sala za mke wangu zimeniokoa,nilikuwa teja wa jf kwa kipindi kirefu na hiyo hali iliniletea kutokuelewana na familia yangu hasa mama...
:shock:Waheshimiwa wa idara ya maji Mwanza Hamjambo? Sasa yapata wiki nzima sisi wateja wenu wa maeneo ya Nganza na Malimbe - Nyegezi hatuna maji. Nashindwa kuelewa nini hasa tatizo na nikubwa...
Maonesho ya vifaa na zana za
kivita kama vifaru,makombora
na maroketi pia na
makomandoo katika sherehe
za kuadhimisha miaka 50 ya
uhuru wa Tanzania bara siku ya tarehe 9/12/2011. Kwa
watu wa...
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa Arusha mjini amekuwa mtu wa kwanza kutoa salamu za rambirambi na huku akishangiliwa na umati mkubwa na wanawake kumsindikiza kwa vigelegele katikati ya wana...
Salum Ally ama ukipenda kwa jina maarufu kwa jijini Dar es Salaam na katika baadhi ya mikoa ambayo hufanyia shughuli zake ni (Mzee Cuf), huyu yeye ni Mpiga picha maarufu wa picha za kuuza...
Ktk hali isiyo ya kawaida wanafunzi wa udsm sasa wapo block G ya mabibo hostel wanajianda kupambana na utawala kuanzia j3 kwa kukosa bumu pamoja na wenzao 45 kusimamishwa masomo. Nipo hapa maeneo...
Nimefanya ka mini-research barabarani nikasafiri kutoka ngara kupitia kahama, nzega, singida hadi Arusha. Katika vituo vyingi vya polisi (about 75%)ya vyote, dreva na kondakta mmojawapo anatoka...
Ajali mbaya imetokea maeneo ya nyororo kama si kosei, imehusisha basi la Upendo Budget na lorry, miaka nipo ndani ya super feo naelekea mbeya. Hatujasimama kwa hiyo sijui wamekufa watu wangapi...
Qns: 'Most of the countries in Africa attain their Independence in Multiparty system, disscus How they ended up developing UNDEMOCRATIC structure of governance?'
naombeni mawazo yenu,manake idea...
Jamani nasikia kbs jamaa wanatoa matusi makubwa live TBC mara vifaa vya si****** ss sielewi inakuwaje wanashindwa ku control hii sauti,wachoongea hawa ni aibu kwa Taifa,au ni wafanyakazi wa TBC...
Nembo ya Chama Cha Mapinduzi yenye NYUNDO na JEMBE,inatafsirika hivi:Nyundo kwajili ya kukupigia ukiwa mkaidi wa matakwa yao hadi kufa na jembe hutumika kuchimba kaburi kwajili ya mazishi.
JF,
Nisaidieni jamani.
Natafuta nafasi ya ofisi ndogo ya kitaalamu na yenye kuweza kuacomodate wataalam 4 - 6 ambayo gharama zake ni kati ya 5 -6 Slaas a month.
Haraka tafadhali.
Katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya uhuru nimeona kwenye maandalizi kulikuwepo na magari ya kivita, mizinga na ndege za kivita. Swali langu je ni sahihi kwa nchi kama yetu kuonesha vifaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.