Haya sasa miaka 50 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haya sasa miaka 50

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kubingwa, Dec 9, 2011.

 1. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wadau sasa miaka 50 ya uhuru ishapita,what next? Siasa,uchumi,ajira,posho kule mjengoni na pia sijawasikia wanaharakati muda mrefu
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani hizi kelele hazisaidiii,uchaguzi ukifika tujiandikishe kwa wingi na tulinde kura zetu kwa nguvu zote.Tuwakatae wezi wooooooooooooooooote
   
Loading...