Mkesha wa miaka 50 ya uhuru wa Tanzania

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Wanajamiiforums wote mlioko Dar es salaam karibieni mnazi mmoja kwenye mkesha wa kusherehekea miaka hamsini ya uhuru wa nchi hii.
 
inabidi mgawe kinga kwa wingi sana "gavana"
Kama umetembelea maonyesho ya wizara na idara za serikali pale viwanja vya mwalimu nyerere, utakubaliana na mimi kuwa kinga haitakuwa ishu, maana karibu hospitali zote za umma na baadhi za binafsi zitakuwepo
 
vipi kuhus alshababy hawatukepo au mmekubaliana wasilipue mpaka maandamano tu
 
mbagala zakhem pia watakesha, alaf arusha itakuwa pale snow crest hotel, kiingilio na masharti ya uvaaji kuzingatiwa.
 
Mimi katika hili sikubaliani nalo kabisa eti kukesha kisa miaka 50 yakutawaliwa na wafrika wenzetu hakika ninachojua Tanzania haijapata uhuru ila siku inakuja tutapata uhuru
 
Nilipita pale hazina juzi nikakuta massage kila mahali kushiriki mkesha nilipowasiliana na jamaa yangu akaniambia anashughulikia vinyaji (bia,maji na nk) kwa watakaokesha.
 
Back
Top Bottom