Millard Ayo alipomtembelea Riziwai hivi leo. Milllar anaandika hivi.................. nikiwa na RIDHIWANI KIKWETE nyumbani kwake leo, tumezungumza mengi ambapo pia amezungumzia KAULI NZITO...
Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba, nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO...
zaidi ya magari 200 yako katika eneo la mzani wilayani Biharamulo mkoani kagera kutokana na mgomo wa madereva wanaopinga unyanyasaji wa wadfanyakazi wa TANROADS katika kituo hicho
habari...
Wakuu kama mnavyofahamu Tanesco inakusudia kupandisha bei ya umeme January 2012 kwa kipindi cha dharura cha miezi 6.Nashauri watu wote wenye hela zao wanunue umeme wa kutosha miezi 6 December hii...
Kwanini nasema hvyo,watu tulipanga kuandamana kupinga safari za mheshimiwa akiwa huko ughaibuni.watu wakahamasishana vya kutosha hadi sehemu ya maandamano kuanzia then 'chali'ikaja nyingine ya...
Mbowe ataka siasa za amani, upendo zitawale
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema siasa za amani, upendo, mshikamano na zenye hofu ya kumuogopa Mungu...
Siku zote watanzania tunapigania nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma. lakini kabla hatujafika huko, kuna malipo yanatolewa na serikali kwa watumishi hao lakini halmashauri hazilipi hizo...
Wapendwa, mwaka 2011 umekuwa na changamoto zake nyingi tu; Je umejenga utamadauni wa kujitathmini? Je yale uliyoyataka yametimia kwa kiasi gani? Je mipango yako na ndoto zako ulijitahidi kuifikia...
Godbless Rema alishiriki katika maombi ya kumfufua Shangwe Mwalusamba ambaye ni mke wa rafiki lakini yaligonga mwamba. Maombi hayo yalichukua karibia siku mbili yalitokana na imani za kishirikina...
Kwa kuwa mimi sio askari ni bora nikupe haki yako. Shikamoo!
Majukumu ya kazi yanaweza kukufanya uchoke kusoma thread ndefu hivyo naona bora niende kwenye point moja kwa moja bila kufuata...
Gari ya kampuni ya masafi (fuso)
limeacha njia na kugonga abiria
waliokuwa kituo cha daladala hapa
korogwe kimara, dar es salaam. Mtu
mmoja hali yake mbaya sana, hii imetokea sasa hivi
Najaribu kuangalia TBC kwa jicho la tatu naona TBC nikama chombo kisichokuwa na vision wala mision bali nikurusha vipindi visivyokuwa natija kwa watanzania!
Naudhika nakipindi cha Benki Kuu na...
Bilionea mkubwa nchini Urusi ametangaza kukabiliana na Vladimir Putin katika uchaguzi mkuu wa rais wa mwaka ujao. Mikhail Prokhorov amesema ataunda chama kipya cha siasa ambacho kitawalenga watu...
Wakati unazaliwa uhuru mie nilikuwa bado sija zaliwa,kwa wale mliyokuwepo enzi hizo mtakuwa mnafahamu hatua tuliyofikia katika hii vita. Leo asubuhi hii nimeona watu wakipigania yale mahindi ya...
Karibu sana mama, hapa ni TZ pia. Katikati ya jiji la Dar! Panaitwa Tandale sokoni, halafu ficha hiyo blackberry yako. Eneo hili watu hawachati katika facebook itakwenda na maji. Watu wengi...
pamoja na kelele za zuma rais wa south africa kuomba wasimnyonge serikali ya china leo imeitimisha kesi ya madawa ya kulevya ya miaka mitatu iliokuwa ikimkabili dada etu wa kizulu akiwa...
Nawachukulia wanaomtuhumu mh EL kwa wizi na ufisadi kama wanaigiza COMEDY flani hivi....Siwezi kuamini bila kuona wala kushuhudia. Siwezi kushutumu na kutoa hukumu kwa maneno ya wahuni wa kwenye...
CHAMA CHA CUF, walijisahau sana baada ya kufanya ndoa ya mkeka kwa serikali huko zanzibari ,lakini huwezi kufanya urafiki na nyau paka shume ujue iposiku atakurarua tu ,waliwacheka chadema wenzao...