yanayowakuta wana CUF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

yanayowakuta wana CUF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by wizaga, Dec 13, 2011.

 1. wizaga

  wizaga Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHAMA CHA CUF, walijisahau sana baada ya kufanya ndoa ya mkeka kwa serikali huko zanzibari ,lakini huwezi kufanya urafiki na nyau paka shume ujue iposiku atakurarua tu ,waliwacheka chadema wenzao wanatumia akili sana na kutakuli kila jambo kwa undani lakini nyie mwaenda tu,leo mnatak kumtoa huyo bwana harusi na makaratasi mlishamwaga wino subilini hadi uchaguzi ujao ndipo sharif self atoke ?????????????mh poleni
   
 2. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko. Maalim aliwasaliti wana CUF kutaka ukuu. Ulaaniwe seif sharif hamad!!!
   
Loading...