Ubunifu wa ombaomba huu hapa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba, nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO ILISEMA

'ndugu zangu watanzania nakuomben msaada,mia 1, mia 2, mia 5, aaamin aaamin'.
Nikaamua kutupia macho,alikua ni kijana ambae amevaa shingon kipaza sauti kilichofungwa na kamba,ameamua kutumia mbinu hiyo ambayo

inamsaidia sana kwani inaonesha anasikika kwa haraka sana,

My take; NAMPONGEZA HUYU JAMAA,NAWEZA KUSEMA AMETHUBUTU!
 
Asubuh ya leo nimeona ubunifu wa Ombaomba,nilikua kwenye makutano ya kawawa road na nyerere rod,wakat daladala ipo kwenye folen nikasikia sauti iliyorekodiwa ikitoka kwenze kipaza sauti,SAUT HIYO ILISEMA
'ndugu zangu watanzania nakuomben msaada,mia 1,mia 2,mia 5,aaamin aaamin'.
Nikaamua kutupia macho,alikua ni kijana ambae amevaa shingon kipaza sauti kilichofungwa na kamba,ameamua kutumia mbinu hiyo ambayo inamsaidia sana kwani inaonesha anasikika kwa haraka sana,
My take;NAMPONGEZA HUYU JAMAA,NAWEZA KUSEMA AMETHUBUTU!

Amethubutu, ameweza na anazidi kusonga mbele!
 
Hiyo ni mojawapo ya stahili za kuomba zinazotumika ulaya, pamoja na ile stahili ya kuandika bango na unakaa watu wenye imani wanakupa, sio uko kwenye foleni mara ombaomba anakugongea dirisha.
 
Back
Top Bottom