china wanyonga msouthafrica aliekutwa na madawa ya kulevya 3kg's;una ndugu kadakwa na kesi aijaisha?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
pamoja na kelele za zuma rais wa south africa kuomba wasimnyonge serikali ya china leo imeitimisha kesi ya madawa ya kulevya ya miaka mitatu iliokuwa ikimkabili dada etu wa kizulu akiwa anahangaika na maisha kuweka life super bahati mbaya akakanyaga nchi isiyo na mwelekeo kwenye mambo hayo

Leo nasikiliza redio bbc wanasema dadaetu ambae jana nchi za afrika kama tano ziliomba china wasimnanii leo amehitimsha maisha ya kula ugali wa bure na a/c ya bure mjini ZOUNG-ZANG

MWANGA WA MILELE AKUPEE EE BWAANA NA ........AKUANGAZIE UPUMZIKE KWA AMANI
 
Nakumbuka raia wa uingereza alishikwa,prime minister wa UK alipiga kelele lakin wapi china wakanyonga,chonde chonde usifanye biashara hizo china,malaysia,singapore wananyonga,hizo biashara zifanyie uku kwa mkuu wa kaya si china
 
Safi sana.Cjui na mahakama zetu tuwape/tuwabinafshie wachine?
 
Am sure kwa % kubwa huyo atakuwa Mtanzania, Wasouth Africa na michezo hiyo ni mbali mbali kabisa, ukweli ni kwamba Watanzania wengi wanatumia Passport za South kusafirishia unga kwa sababu Passport za Tanzania zimeshaharibiwa sifa sana na Watanzania wenyewe pamoja na Wanaigeria, kumbuka Hata Mzee Mwinyi aliwahi kulalamika kwamba alisachiwa sana bila kujali kama yeye ni Rais mstaafu, na hata mimi binafsi ni muhanga nimewahi kusachiwa sana Airport fulani ughaibuni.
 
Back
Top Bottom