Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani wana jf,mm nipo kikazi dodoma takribani mwaka na nusu.gharama wanazo ziseema hawa waeshimiwa kupanda bado sijaziona.kwa kifupi hotel zilizopo dodoma ambazo zinahadhi inayofaa ni dodoma...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wadau naomba mnisaidie,ilikufanya kazi kwa ufanisi kama human resources management officer(wa tasisi ya uma-training institute) naitaji kuwa na nondo gani za muhimu kuniwezesha kufanya kazi hii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Did you know 11% of people are left handed. Wadau leteni nyingine na zenye kuelimisha zaidi.
0 Reactions
2 Replies
951 Views
Askari wa JWTZ auawa kwa ujambazi Send to a friend Sunday, 11 December 2011 21:03 0digg Burhani Yakub, Korogwe. ASKARI wa Jeshi la Wananchi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
eti ni nani kati ya hawa wafuatao wanaongoza kuharibu noti zetu na kuonekana kuwahi kuchakaa 1. Wauza mkaa 2. Wauza maji 3. Akina mama kuziweka kwenye matiti yao. Ongeza na wengine. Nashut down
0 Reactions
20 Replies
3K Views
On siku ya uhuru it was full mvua na mafuriko baadhi ya maeneo kwa Jiji kama hivi!! hizi ni baadhi tu, tumethubutu,......... malizia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarin za Asubuh wana jamvi la jamii forum, nimechukua nafasi hii kwanza kusema siridhishwi hata kidogo na mwenendo na uwongoz wa Rais wangu J. K. Kwa kweli napenda kusema J. K. Ana lake moyoni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Japo wengine kila kukicha hawaachi kupiga kelele kuwa CCM na JK wanainyonya Tanzania mie nacheka mpaka jino la mwisho. YES, najua JK ndiye mmiliki wa Richmond na DOWANS kama Lowassa alivyotueleza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapo watu, katika kada mbalimbali enzi za mwalimu Nyerere waliwahi kusema kwa ujasiri kabisa bila woga kuwa. Maisha katika awamu hiyo yalikuwa mabaya afadhali yale ya enzi za ukoloni. Maneno...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
sunday kayuni , lakini pia yeye ni kati ya wakufunzi wa TFF na lililo la juu zaidi ya yote kwake ni kwamba ndiye Mkurugenzi wa ufundi wa Shirikisho hili la mpira wa Tanzania (TFF). Kwa makusudi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Source: Gospeltv Online - WWW.GOSPELGTV.COM hii ni TV ya Injili kwenye mtandao GTV
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais mstaafu wa awamu ya tatu mheshimiwa Ben Mkapa ameonesha nia ya kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tz kwa mara nyingine.Rais mstaafu huyo anakubali kwamba kuna makosa aliyafanya enzi akiwa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Imesema noti mpya ni imara na hazitofautiani na noti za zamani. anasema noti za zamani bado zipo kwenye mzunguko kwa sababu zipo bank ambazo zina machine za atm zenye kutoa noti za zamani so...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimefuatilia makoa mkuu ya CUF nikagundua kuwa hali ni tete kwani kuna makundi Moja ni la Hamadi Rashid na Jingine ni la Maalim Seif Na kwamba makosa aliyofanya Seifu yamewagusa wengi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tumethubutu Tumeweza na Tunazidi kusonga mbele!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tokyo is the most expensive city to live in the world. Source:eafrica
0 Reactions
13 Replies
2K Views
SAMAHANI KAMA NI BABAKO HII NI AJALI KAZINI WALA USIOGOPE mhadhiri wa chuo cha muhimbili akila kona kwenye mahafali baada ya kutupiwa mawe kwenye hafla ya kukabidhi degree zao baadhi ya wanafunzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wananchi wa Lugoba wamefunga njia kuu ya dar arusha eneo la lugoba baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari. Wasafiri wanaosafiri kati ya mikoa ya arusha, tanga na dar wamekwama kwa muda wa saa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza niliona matumizi ya vifaa hivyo kwenye documentary zilizorushwa na vituo kama CNN,Aljazeera,n.k. Nakumbuka baadhi kama uvunaji magogo haramu Sierra Reone,biashara haramu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hawa star times vp? kumvalisha star wa movie jezi za AC Milan wakati tuna wachezaji halisi wa mpira wa miguu hapa bongo maana yake nini? je ni kudharau wachezaji wetu ama?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom