Katika miaka 50 ya uhuru, vita dhidi ya umaskini, maradhi, ujinga, tumefikia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika miaka 50 ya uhuru, vita dhidi ya umaskini, maradhi, ujinga, tumefikia wapi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Slave, Dec 13, 2011.

 1. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Wakati unazaliwa uhuru mie nilikuwa bado sija zaliwa,kwa wale mliyokuwepo enzi hizo mtakuwa mnafahamu hatua tuliyofikia katika hii vita. Leo asubuhi hii nimeona watu wakipigania yale mahindi ya msaada.nikahisi vita kumbe bado inaendelea.
   
Loading...