Hakuna kinachokela na kama TBC!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna kinachokela na kama TBC!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Dec 12, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Najaribu kuangalia TBC kwa jicho la tatu naona TBC nikama chombo kisichokuwa na vision wala mision bali nikurusha vipindi visivyokuwa natija kwa watanzania!
  Naudhika nakipindi cha Benki Kuu na magavana wake!!Panapo nikwaza ni huyu Beno kuongea as if tuna uchumi mzuri!!na wananichefua wanapo mtaja balali!naukizingatia wapo wanaposema yupo!huku serikali ikisema kafa je hakija kuonekana hivi vipindi watavifanyeje wakati watu wanavirekodi??
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  TBC is going down like bwana wake CCM
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Lowassa broadcasting corp.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,474
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni uongozi. Tido alijaribu kuweka mwelekeo pale wakampiga mweleka.
   
 5. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,801
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  Hivi bado TBC ipogo eh!! sijaangaliaga siku nyingi mwaka sasa.
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,995
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Halafu eti wanasema television ya taifa! Mi cjui hata hawa mafisadi wanatutaka nini.
   
 7. Stevemike

  Stevemike Senior Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kinachonikera kingine TBC 1 ni habari za biashara pale ambapo maneno ya mtangazaji yanapishana na mdomo wake. Teknolojia ndio iko chini au umakini ndio haupo?
   
 8. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 858
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Tbc wizi mvpu.chek star tv siku hizi wanamada nying zinazopendeza na kuelezea mambo kwa kina.
   
 9. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,842
  Likes Received: 5,098
  Trophy Points: 280
  waposahihi mkuu 100% hii ni television ya taifa la mafixadi wa magamba
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,070
  Likes Received: 1,523
  Trophy Points: 280
  Sound tech ni mweupe pe!!

  Hapo umenena!!
   
Loading...