Maombi ya Lema na wenzake yamegonga mwamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya Lema na wenzake yamegonga mwamba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Dec 13, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  Godbless Rema alishiriki katika maombi ya kumfufua Shangwe Mwalusamba ambaye ni mke wa rafiki lakini yaligonga mwamba. Maombi hayo yalichukua karibia siku mbili yalitokana na imani za kishirikina ambapo waliamin marehemu karogwa kwani aliugua kichwa mda mfupi akapoteza maisha. Godbless rema alisema "mimi namwamini Mungu na maadui zangu wanapo ongezeka naongeza maombi sio walinzi."akaongeza "Mnapo ombea mtu sio kusema eti ni katiba kwamba lazima afufuke chochote kitakacho tokea unamshukuru Mungu." Mia
   
 2. C

  CHIPANJE JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Source mkuu.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  rema -lema
   
 4. A-town

  A-town JF-Expert Member

  #4
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Hizi kasimuliane na wenzako mkisukana we ukikosa cha kupost unatunga ujinga na kuuleta hapa masaburi mkubwa we
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  asante mkuu. mia
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  source ni wapo Radio. mia
   
 7. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #7
  Dec 13, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  asante kwa msaada wako. mia
   
 8. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #8
  Dec 13, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Imani yake hiyo haituhusu.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Dec 13, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Du! kweli kuna mabadiliko. kutoka kuwa kiongozi wa mtandao wa wezi wa magari mpaka kuwa mwanamaombi!
   
 10. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #10
  Dec 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mh, hiyo nayo! Au imesahaulika?
   
Loading...